-
BENKI KUU YA ZAIRE KAFUNGUA SOKO LA UNUNUZI WA ZAHABU
Ukomo wa Benki kuu la Zaïre kwa kununua zahabu ni kuipiatia nchi ya Zaïre feza nyingi, kanena Liwali wa Benki hilo mwanchi Pay-Pay wa Syakassighe ambaye hapo majuri kafungua keserkali soko la ununuzi ...
Swahili
publié par
Chirume Simba
il y a 2 ans
-
Kivu ya Kusini: NJAA YAANGAMIZA WAKAAJI
Katika jimbo la Kivu ya Kusini yaani mitaani Kabare, Walungu, Fizi, Shabunda, Mwenga na mji wa Bukavu, maisha ya wakaaji huhatarishwa kwa kuwa waangamizwa nanjaa, sawa vile mwaka wa 1984.
Swahili
publié par
Chirume Simba
il y a 2 ans