• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • KWAKO BIBI: Ni nani hazae kati ya bwana na bibi?
    Wakati uzazi wakosekana katika familia fulani, watu wengi huzazi kuwa ni nini tu ndiye asiye na uwezo wa kuza.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • KWAKO BIBI: usikubali binti wako apigwe bei kama mbuzi
    Leo, mazungumzo yetu yataeldea tatizo la mali ya kuolewa kwa mabinti wetu wenye umri wa watu wazima.
    Actualités publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • Kwako Bibi: Unaweza Kupiganisha ukosefu wa masikilizano nyumbani
    Kama tulivyozungumza nanyi siku zilizopita, visa vinavyokuwa msingi wa kuvunjika kwa ndoa ni vingi.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • Kwako bibi: Vitunguu sumu ni dawa ya kweli
    Tangu zamani, Vitunguu sumu vilikuwa vikitumiwa kwa kutunza magonjwa mbali mbali.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • Kwako bibi: "Herpes" ni hatari sana kwa watoto wachanga
    kama tulivyozungumza nawe siku zilizopita, magonjwa mengi yanayoweza kuwzzmbukia wanawake wenye mimba yaweza kuwaambukia vile vile watoto wachanga hata kuwararua.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • kwako bibi: Kinga wabinti wako kwa "Rubéole"
    Tangu zamani, ugonjwa wa "rubéole" haukukuwa na dawa yoyote kwa kuweza kujipanya.
    NENO LA WASOMAJI publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • kwako bibi: Usimpevushe mtoto wa mwenzako
    Kila mwanadamu ana iazima ya kuishi katika jamu ya watu.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • Zimbabwe: Wazalendo wa vyama vinavyopinga Mugabe Wanarudi nyumbani
    Habari zinazoaminika kutoka Zimbabwe zaeleza kuwa kundi la kwanza la wazalendo wa vyama vinavyompinga waziri
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • En décembre prochain: un important colloque sur la nouvelle réforme de l'enseignement aura lieu à Bukavu
    Sous l'égide de la division régionale de l'enseignement primaire et sécondaire, il se tiendra en décembre prochain, un colloque sur la nouvelle réforme de l'enseignement primaire et secondaire à Bukavu.
    Actualités publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • kwako bibi: tunaweza kuchanjwa kwa kuepuka ugonjwa wa maini
    Kuna aina mbali mbali zamagonjwa ya maini. Uchunguzi wetu wa leo utaelekea hasa magonjwa yanayo shambulia maini yaitwayo "hépatite A"
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • A l"occasion du 3ème anniversaire du décès de mama Mobutu
    Le peuple zairois a commémoré, le 22 octobre, le troisième anniversaire de la mort de Mama Mobutu Sese seko.
    Actualités publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • kwako bibi: Mishahara ya wanawake yaweza kuleta magumu?
    Ikiwa mazungumzo yetu ya leo yaclekea mishahara ya wanawake, ni sababu ya fujo ya kila aina tunayotambua katika jamaa ambame bibi ni mfanyakazi
    NENO LA WASOMAJI publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • Bukavu: Wanawake masikini walipewa vitenge
    anazaire walishererehekea, siku ya tatu tarehe 22 oktoba mwaka huu ukumbusho wa miaka mitatu tangu kufariki kwa Mama Mobutu.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • La citoyenne Muadi Mwamba en tournée: L'amélioration des conditions de travail de la femme à l'ordre du jour
    En tournée de sensibilisation et de conscientisation dans les différentes régions de la République, la citoyenne Muadi Mwamba, secrétaire nationale du bureau de l'UNTZA chargé des problèmes féminins(BUPROF) a séjournée à Bukavu
    Actualités publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 5 ans
  • "UNTZA" yahusika na maisha ya wanawake wanaotumika
    Hi ni sehemu ya mwisho ya habari zilizotangazwa juu ya matembezi ya kina bibi Mwadi wa UNTZA Jimboni.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 4 ans
  • Kwako Bidi: tutunze vema vidonda vya kutokana na moto
    Mara nyingi, watoto wetu huungua kwa maji ya moto, mafuta yanayochemshwa kwa kukaanga chakula, chai ao maziwa, mvuke wa sufuria jikoni na kazalika.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 4 ans
  • La place de la femme Murundi au sein du parti UPRONA
    Par le canal de l'union de toutes les "Barundikazi" qui a vu le jours le 3 mars 1976, la femme murundi participe activement à la vie nationale.
    Informations générales publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 4 ans
  • Fin du premier symposium de la femme travailleuse
    Sous les auspices de l'UNTZA et du centre Afro-Américain du travail, le 1er symposium national de la femme travailleuse zaîroise portant sur le thème du conditionnement social et ses effets sur les droits fondamentaux...
    Actualités publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 4 ans
  • Fin du premier symposium de la femme travailleuse (fin)
    Durant ces journées de réflexion, se sont succédés à la tribune différents conférenciers tant internationaux que nationaux dont les thèmes tournaient autour du bien-être familial
    Nouvelles du Kivu publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 4 ans
  • "PASTEUR" Wakanga Meso "7 è CEGZ" amesimulia juu ya Misionari Vinton
    Kufuatana na malala miko ya wakaaji wa kama kuhusu mwenendo wa bwanaVinton huko kama, tulilazimishwa kutafuta mwanga katika tawilake la 7è CEGZ mjino Bukavu.
    NENO LA WASOMAJI publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 4 ans
  • Mkutano wa kwanza wa wanawake wafanyakazi umekoma
    Kulingana na aliko la chumba kihusikacho na mahusiano mema kati ya mashirika ya wafanyakazi katika bara la afrika na shirikisho la umoja wa Amerika.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 4 ans
  • Kamati ya vijana watumishi imesiimikwa katika shirika B. ISRAEL
    Siku ya sita tarehe 20 Decemba 1980, kamati ya vijana watumishi katika chama cha Mapinduzi katika shirika "B. Israël et Fils" imesimikwa na kuonywa kiserikali kunako hoteli Metropole mbele ya mwenyekiti wa mji ya Bukavu, muananchi Lokomba Kumuadeboni.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Wanyama wenye wazimu waambukiza wakaaji ugonjiwa huo?
    Ikiwa tunazungumza na wasomaji wetu juu ya ugonjwa wa mbwa, paka ao wanyama wanye wazimu (animaux enragés), ni hasa katika ukomo wa kuepuka ugonjwa huo unaweza kumuambukia binadamu wa kati unapoumwa na waniama wenye ugonjwa huo wa hatari.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Wakati gani kupewa posho?
    Ikiwa tunazungumza katika maandishi yetu na kujiuiza wakati gani ambao kina mama aweza kupewa kwa kulisha familia yake, ni sababu ya malambiko mengi ya nayotufikia toka pepo nne za jimbo letu kuhusu fujo inayotukia wakati mabwana mapokea mishahara yao.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Vinyume vya biashara vya "domo"
    Siku hizi wakaaji wa miji mikuu kuvukwa na kazi ya kufanya bishera heta wakati hawana feza za kutisha kwa kuanza kazi hiyo. wengi wao wasukumwa kufanya hivyo wapate kutunza vema familia yao, kinua maisha yao banifsi na wengina kwa ou pe kali ya kuvimbisha mifuko yao.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwabo bibi: Ni vema kujua mshahara wa mme ao mke wako?
    Kusudi kwa koyumununula movazi ya lazima kadiri wasemavyo
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako BIBI: Kina mama wamoja wachuuzi wanaojielekeza kamembe wanakafilisha
    Kina mama wengi wa mji wa Bukavu hujielekeza kunako maduka na soko mbali mbali katika jimbo la (Cyangungu)....
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Quand et comment donner l'argent destiné à la ration alimentaire?
    Les ménaces qui habitent les grands centres ont de nombreux problèmes mais à l'heure actuelle celui de s'approvisionner en denrées alimentaires...
    Informations générales publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : "Mwanamimba" ni ugonjwa gani ?
    Kina mama wengi washambuliwa sana na ugonjwa wa tumbo hasa magonjwa yanayoshambulia njia za uzazi. Pahali pa kujielekeza hospitalini wanapougua ao kuumwa tumboni, wengi kati yao hupuuza hasa zaidi wakati wanapotambua kuwa maumivu hayo yawasonga hasa pande za sehemu ya chini ya tumbo.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Penye kilio sio mahali pa vilabu vya pombe ya mikutano ya vimada
    Wakaaji wengi, wanaume na vile wanawake wamemwona sahau kabisa maana kamili ya kujielekeza nduu ao marafiki waliofiwa na kuwasaidi kadiri inavyowezekana.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • ANEZA/BUKAVU : La conscientisation des hommes d'affaires à l'ordre du jour
    Elu le 21 février 1981, le nouveau comité de l'Aneza/Bukavu est déjà sur la brèche. Hier dans l'après-midi, il a tenu sa première réunion de prise de contact à laquelle ont pris part tous les membres de ce comité sous-régional.
    Actualités publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Réglement des prix de la bière dans la ville de Bukavu
    Suite à la lettre n° DENIC/BCE/0697/80 du 18 avril 1980 du commissaire d'Etat de l'économie Nationale, le citoyen PAY PAY SIAKASIGHE portant sur la dérogation des prix de consommation des boissons, le gouverneur vient de créer une commission de contrôle qui est chargée de coter tous les débits de boisson ...
    Actualités publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Uchunguzi mkali wa vilabu wafanyika mjini Bukavu
    Tngu siku ya nne tarehe 26 februari mwaka huu, makamu wa mwenyekiti mjini Bukavu, mwananchi Mawanga Tsongo - Tsongo ni mwenyikusimamia kundi lihusikalo na uchunguziwa viabu vya pombe katika mkaa yote ya mji wa Bukavu.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Mitetemeko ya dunia ilisikia mjini Bukavu
    Mnamo siku ya kwanza tarehe 2 marsi pa saa saba na dakika 50, siku ya pili tarehe 3 marsi pa saa nane za usiku na siku ya nne tarehe 5 marsi mwaka huu pa saa 12 za asubuhi, mitetemeko ya dunia yamesikia mjini Bukavu pasipo kuleta hasara yoyote.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Bukavu : Bado kidogo wapangaji wa "Bonas" wenye madeni watafukuzwa
    Siku ya tatu tarehe nne marsi 1981, haibu wa Liwali wa Kivu ahusikae na mwenendo bora wa kazi za serikali, mwananchi Makolo Jibikilay alimpokea katika masimulizi chumbani mwake mwa kazi kiongozi wa tawi ...
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Mwananchi Mbalaga alisema : Wilaya ya Maniema yakusudia kukamilisha mpongo wa kuongeza mazao ya mashamba (PAM)
    Mnamo siku zilizopita, wenyeviti wa mawilaya yote jimboni walikutana mjini Bukavu ambako walizungumza kikazi na katibu mkuu wa Chama chetu cha Mapinduzi Bo-Boliko Lokonga Monse Mihombo.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Ni nani msingi wa uzazi wa aina moja tu ya watoto ?
    Wengi kati ya wazazi wapatwa na huzuni kubwa moyoni mwao wababu wamepata bahati mbaya ya kuzaa aina moja tu ya kuzaa aina moja yu ya watoto. Ni kusema kwamba kuna jamaa zinazopata tu watoto wakiume ao watoto wakike.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kadutu : "Centre social" yawaomba wabinti na kina mama kujiandikisha wengi
    Siku ya kwanza tarehe 23 Marsi 1981, mwenyekiti wa mtaa wa Kadutu, mwananchi Mulyanga Mugobe, amepokea mchumbani mwake mwa kazi kiongozi wa kitua cha maelimisho ya kazi za mikono na ufundi wa ujuzi wa mambo ya kijamii kwa kina dada na mama Kalmeri.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Askari jeshi watafanya mazoezi ya vita
    Habari zanye kuaminika ambao zilitangazwa na "Sauti ya Zaïre" mjini Kinshasa zahakikisha kwamba, tangazo moja maalum toka chumba cha kazi za kamanda mkuu wa askari jeshi wote nchini, Jemadari Mobutu Sese Seko laeeleza kuwa siku hizi vikosi mbali mbali wya askari jeshi ...
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bib : Hakuna ugonjwa wa haya !
    Ikiwa wataala! wamekwisha vumbua dawa nyingi za kupinga na kukomesha kabisa magonjwa mbali mbali, magonjwa mengine ya hatari yazidi kutesa na kuharibu mwili wa binadamu wengi ingawa wanafahamuvema kuwa kuna dawa inayoweza kuponya mapema ...
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kanuni mpya ya malipo ya walimu
    Mnamo tarehe 13 Marsi mwaka 1981, baraza za mawaziri lilikutana mjini Kinshasa na kuchungua jinsi bora na limu katika masomo ya msingi na ya sekondari.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Installation officielle des comités de la J.M.P.R. ouvrière et de la délégation syndicale/ Sonas
    Le lundi 20 avril dernier, les cérémonies de l'installation jumelée du comité de la JMPR ouvrière et celui de la délégation syndicale/SONAS ont eu lieu à la SONAS-même devant le citoyen Mawanga Tsonga Tsonga commissaire sous-régional assistant de la ville de Bukavu ...
    Nouvelles du Kivu publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Askofu Tshibangu alizungumza juu ya ujio wa Uniwasti katika mwaka elfu mbili
    Tangu tarehe 8 mpaka 11 Aprili 1981, kiongozi wa Univasti nchini (recteur de l'UNAZA), Askofu Tshiangu Tshishiku, alifanya safari yake yakikazi mchini Bukavu akitokea Bujumbura, makao makuu ya Jamhuri ya Burudi ambako alikutana na wenzie wa Univasti za Rwanda na Burundi ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Umri wa uzee ndio wapoteza hasa uzazi
    Kisha kutimiza umri wa miaka fulani ya kuzaliwa, wanawake kupoteza uzazi (mwanzo wa uzee). Umri huo wapatikana kati ya miaka 47 na 51 ya kuzaliwa kwa wanawake.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Kutoa mimba kwaleta vinyume vikali !
    Kama tujuavyo sisi wote, kutoa mimba kwaleta vinyumba vingi vibaya hasa kabisa kuharibu afia na paisha ya kina mama kwa upekee na watoto wazaliwa kwa jumla.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Usiwatese bure watoto wa mme wako
    Mazungumzo yetu ya leo yataelekea kina mama anayewatesa bure watoto walioachwa na mke mwenzake.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Emancipation de la femme : Des interprétations erronées
    Les pays en voix de développement, notamment ceux d'Afrique passent aujourd'hui par un processus de transition relativement rapide qui affecte également le comportement de la femme. Cette dernière continue de se retrouver devant l'ambiguïté de la tradition et de la modernité ne sachant pas comment concilier les deux modes de vie.
    Le coin de la femme publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Kutumia "biberon" kwaweza kuleta magonjwa ya hatari
    Siki hizi, magazeti, radio na mazungumzo mengi popote duniani yafanya vyote ili kuwasikilizisha raia vinyume vikali vya matumizi ya "Biberon" kwa watoto wazaliwa.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Hôpital général de Bukavu : Nouveau bloc technique de la maternité
    En 1975, lors de la rencontre du Président-Fondateur du MPR avec les mamans du Kivu, la cheftaine de la clinique de Bukavu, la citoyenne Lunanga sollicitait l'intervention du Guide pour la reconstruction de la maternité de l'hôpital général qui se trouvait en état d'effondrement.
    Actualités publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Jumba pya la uzazi limezinduliwa
    Mnamo tarehe 20 Mayi iliyopita tuliposhangilia miaka kumi na nne ya siku kuu ya ukumbusho wa kuundwa kwa Chama chetu cha Mapinduzi, jumba mpya la uzazi kwa kina mama limezinduliwa kunako hospitali kuu mjini Bukavu.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Tama ya mno si vema kwa mama wenye ndoa
    Wangwana walisema kwamba kuku hula kadiri ya mdomo wake. Tunasema hivyo sababu tutachugua katika mistari ifatayo vinyume vikali vinavyoletwa na tamaa ya mno hasa kwa kina mama wenye ndoa.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Katibu mkuu wa mambo ya kijamii akusudia kuinua maisha ya wakaaji nchini
    Tangu siku ya sita tarehe 30 Mayi mpaka siku ya tatu tarehe 3 juni, Katibu mkuu wa mambo ya kijamii nchini, kina mama Kashemwa Laini Nyota alikua katika ziara ya kiserikalini ....
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Ni kuendelea ao ujinga ?
    Tangu mwaka 1975 mpaka mwaka 1985 yalitangazwa kuwa wakati wakushurulika zaidi na maendeleo ya hali ya kina mama popote duniani, nchi nyingi zafanya nguvu yao yote ili hao wapate dunia ...
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Le secrétaire d'Etat aux Affaires sociales annonce : la création des centres pilotes et la relance des activités sociales
    Le secrétaire d'Etat aux affaires sociales, la citoyenne Kashemwa Laini Nyota a séjourné du 30 mai au 2 juin dernier dans le chef-lieu de la région du Kivu, en mission officielle.
    Actualités publié par CIKURU BATUMIKE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Bukavu : Serikali imekwisha wavumbua watumishi wasio wa kueli 703
    Kisha uchunguzi uliofanyika na serikali katika mji wa Bukavu mnamo siku zilizopita (yaani mwezi wa Aprili mwaka huu) watu 703 waliokuwa wakilipwa mishahara na serikali ijapokuwa hawakuwa wanamtumikia wamekwisha vumbilia.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Tufanyeje wa kuwaokoa wabinti wetu ?
    Dunia ya leo sio ya jana mambo mengi yamekwishageuka mwendendo wa wabinti wetu umekwisha badilika na kuwa mbaya zaidi.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Yafaa kuwa msafi kila siku
    Mazungumzo yetu yataelekea hali unayopashwa kuwa nayo wakati unapokuwa sasa mama wa jamaa. Ni jambo la kusikitisha sana wakati unapoona wabibi wengi wanabadilisha tabia zao mzuri walizokuwa nazo wakati wa ubinti wao.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • BUkavu : Vyombo vya muziki vilitolewa kwa kundi la uhimizaji jimboni
    Siku ya sita tarehe 18 Julay 1981, vyombo vya kututa muziki vilivyotumwa na Rais Mobutu vilionywa kiserikali mbele ya LIwali wa jimbo la Kivu, mwananchi Mwando Nsimba.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Lugha gani kusimulia katika jamaa ?
    Zamani, ulizo hilo halingeweza kuwa na maana yoyote kwani familia zilikuwa zikishi katika vijiji vyao vya asili ukoo kwa ukoo. Wakati nuo, watu wote walikuwa nafazimishwa kusimuliavema lugha ya mababu wao wababu hawakuwa nakutana sana na watu wa makabila mengine ao kuishi nao.
    Swahili publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Fin du séminaire de formation des cadres
    Sous les auspices de la Fondation allemande, Fredriech Naumaan de Bonn, et de l'UNAZA/CIPEP, un séminaire de formation des "cadres élus" est organisé dans de différentes villes de la République d'abord à Kisangani, Matadi, Boma, Kananga, Bandundu, ...
    Nouvelles du Kivu publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • La Mopap a des nouveaux instruments musicaux
    Le samedi 18 juillet 1981, le secrétaire régional à la mobilisation, propagande et animation politique (MOPAP) a présenté officiellement les instruments musicaux neufs devant le gouverneur de région, le citoyen Mwando Nsimba.
    Nouvelles du Kivu publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans