-
Tuzungumze: Mke wa mwenzio, harimu
Ikiwa kweli maburudiko ni ya lazima kwa maisha wa mtu, yafaa yafanyike katika usawa bila kumtuma mtu kwendesha vitendo visivyo halali, kuchafua utu wake na kuzoofisha mwili wake bure.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Kweli, ninao ugonjwa wa SIDA
Binti mmoja mtaa wa Kadutu pa Bukavu anaugua ugonjwa wa upungufu wa kingo mwilii (UKIMWI, kwa kifupi ama SIDA) tangu siku nyingi kufwatana na mafasirio alipata kwa waganga pale Bujumbura na Goma.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Imata Raphael Déwen
il y a 2 ans
-
Michezo ya kandanda: Zaïre kainyuka Tanzania 2-0
Kulingana na mapambano yanayoendeshwa kwakuigombea Kombe la 18 baina ya Mataifa Barani Afrika (CAN) ambalo litaonywa kugombewa kweli katika mapambano ya mwisho itakayowachonganisha timu za mataifambali mbali hapo mwaka 1992 ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Matunda ya kazi yamfalia nani ?
Katika dunia hii ya leo, makosa mengi na makubwa ambayo watu wengi wenye madaraka walifanya ni kule kupenda mali za dunia kuliko watu waongoza.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Afia: Ugonjwa wa SIDA waendelea kupingwa
Mnamo tarehe 15 Ogusti 1990, Liwali wa jimbo la Kivu ya Kusini, mwananchi Dilingi Liwoke la Milengo aliye pia prezidenti wa Kamati yenyi kuhusika na upingo wa ugonjwa wa SIDA jimboni mwa Kivu ya Kusini ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Goma: SNEL na REGIDESO yatisha wakaaji
Habari toka Jimbo la Kivu ya Kashazini zajulisha kuwa mji wa Goma watishwa na vitendo vyaendeshwa na mashirika SNE na REGIDESO ambayo yapigana naz wakaaji ambao watumia moto wa stimu na maji safi ya kunywa toka mirija na mashomba.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Chama "MPR" chasimikwa jimboni mwa Kivu ya Kusini
Viongozi na wakuu wa vikundi kazaa vya siasa kapewa miezi mitatu ya kutoa maelezo kamili kwa kutoa ombi lao la kuviunda kunako wizara ya mambo ya Ndani, (uongozi wa nchi) na siasa ya kujitengemea ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Kivu ysa Kusini: Mkoa wa Kabare wakaa juu ya majivu ya moto
Katika ziara ya kiserikali kaendesha liwali Dilingi wa jimbo la Kivu ya Kusini kwa kutoa mafasirio kamili juu ya mabadiliko itakayofanywa katika Katiba ya nchi ya Zaïre.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Kombe la dunia la kandanda: Ujerumani Magharibi binga
Timu ya Jamhuri ya Ujerumani Magaribi ndilo sasa bingwa wa mchezo wa kandanda duniani. Timu hilo kajinyakulia ushindi kisha kulilaza timu la jamhuri ya Argentina kwa bao moja kwa sifuru.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bakanirwa Bachiyeka
il y a 2 ans
-
Kanisa la Kianglikani: Roho njema katika mwili wenyi afia njema
Kanisa la kianglikani mjini Bukavu kaendesha mwezi wa Julay mkutano wa mafundisho maalum wa maendeleo kwa ajiliya viongozi 45 wa kanisa lake katika majimbo ya Kivu ya Kusini, Kaskazini na Maniema.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bakanirwa Bachiyeka
il y a 2 ans
-
CRONG: Mabadiliko ya siasa nchini na maendeleo vijijini
Miungano 25 zisizokuwa za serikali ambazo zahusikana mendeleo ya nchi jimboni mwa Kivu ya Kusini kakusanyika tarehe 25 hadi 27 Juni mjini Bukavu chini y uongozi wa muungano waoo mkuu "CRONG".
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bakanirwa Bachiyeka
il y a 2 ans
-
Nyama za kuoza zaonywa sokoni
Katika soko mahali kazaa jimboni mwa Maniema wanuuzi wajionea "Iwa mwende mkaone". Huko Maniema, yasemekana kuwa ni vema kula sombe ao maharagi kuliko nyama.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Swedy Bin Alaiu
il y a 2 ans
-
Maniema: Kazi za afia zaendeshwa vurugeni
Siku hizi wakaaji wa mjini Kindu wapigwa bumbwazi. Kwa kuwa tu viongozi wa kazi za zile ambazo si mhimu sana, wakitupilia mapaswa yaliyo ya mustari wa mbele
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Swedy Bin Alaiu
il y a 2 ans
-
Kwako bibi: Chakula bora kwa mama mwenyi mimba
Wakati kanenwa kuwa mtaalam wa mlimo ni wa lazima sawa na nganga, watu wamoja wamoja wapingwa bumbwazi, kwa kweli, masemi hayo ni ukeweli mtupu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bakanirwa Bachiyeka
il y a 2 ans
-
Kwako bibi: Chakula bora kwa mama mwenyi mimba
Wakati kanenwa kuwa mtaalam wa mlimo ni wa lazima sawa na nganga, watu wamoja wamoja wapingwa bumbwazi, kwa kweli, masemi hayo ni ukeweli mtupu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bakanirwa Bachiyeka
il y a 2 ans
-
GOMA/Kivu ya Kaskazini: Diosezi katolika imo mbioni kwa maendeleo ya raïa
Hapo majuzi kafanuika mda wa wiki nzima mjini Goma mkutano wa baraza la Diosezi ya Goma. Mapadiri, watawa na wajumbe wa kanisa la kikatoliki kakusanyika chini ya uongozi wa Askofu wa Goma, mheshimiwa Ngabu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Gabriel Lukeka Bin Miya
il y a 2 ans
-
Kivu ya Kusini: Wakaaji wa Bukavu walaumu shirika "SNEL"
Baada ya ziara ya Prezidenti-muundaji wa Chama cha Mapinduzi "MPR" mjini Bukavu, shirika "SNEL" halina amani. Kwani, siku kwa siku, wakaaji wenyi kutuma moto wa stimu walienda na watumishi wake.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Urusi kabadili siasa yake, lakini
Mabadiliko ya siasa kufanyika Ulaya ya Mashariki ambako nchi nyingi kaendesha siasa ya kisosialisti katikisa nchi kazaa wa kazaa ulimwenguni.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Kwako bibi: Tumia feza kwa ukarimu
Katika shule nyingi wasichana waelimishwa mambo kazaa kuhusu utumizi wa feza katika jamaa watakaloliunda siku za usoni. Maelimisho hayo yaelekea zaidi ujuzi wa utumizi wa feza nyumbani.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bakanirwa Bachiyeka
il y a 2 ans
-
UNICEF imo mbioni kulinda afya ya watoto
Hapo majuzi, liwali wa jimbo la Kivu ya Kusini, mwananchi Dilingi Liwoke La Milengo, kasimika kamati ya kufuatilia kwa karibu kazi za kampeni kamambe zitakazoendeshwa kuhusu chanjo kwa watoto jimboni.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Makanisa na maendeleo jimboni mwa Kivu ya Kusini
Kama tulivyoyaeleza katika nakala zetu zilizopita, isiyo tu kanisa la kikatoliki lahusika na maendeleo ya umma nchini bali pia hayo ya kiprotestanti na ya Kimbangu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Peru
Sherehe za Noeli kapigwa marufuko Uyahudi: Misaada ya Amerika yapigwa Ethiopia: Watu milioni moja hatarini! Panama: Huenda Noriaga akahukumiwa kifungo cha miaka 140 Walikale: Watu 15 wamepo ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 2 ans
-
Mabadiliko katika uongozi wa mabiro ya "E.P.S." yamefanyika
Mnamo tarehe 7 mwezi huu, katibu mkuuwa serikali anayebusika na kazi za uongozi bora wa masomo ya msingi na vyuo vya sekondari, mwananchi Ndolela Siki Konde, ametia sahihi yake mhuri wa serikali juu ya hatua aliyokamata kuhusu mabadiliko ya viongozi wa mabiro ya "EPS" nchini.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 2 ans
-
"A.N.E.Z.A." ikotayari kupiganisha magonjwa
"Shirika letu lipo tayari kuwaunga wakuu wa jimbo mkono katika juhudi yao ya kupinga bila huruma magonjwa yanayowaambukia wakaaji wengi siku hizi".
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 2 ans
-
Mkuu wa Banki "U.Z.B." yupo safarini katika jimbo
Siku hizi mkuu ama mkurugenzi (président directeur général) wa banki ya biashara iitwayo "Union Zaïroise des Banques" kwa kifupi "U.Z.B." katika lugha ya kifaransa, mwananchi Tshilomba wa Nsimba yuko katika matembezi ya serikali jimboni.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUSEMI KILONDO NKULA
il y a 2 ans
-
Mkuu wa Banki "U.Z.B." yupo safarini katika jimbo
Siku hizi mkuu ama mkurugenzi (président directeur général) wa banki ya biashara iitwayo "Union Zaïroise des Banques" kwa kifupi "U.Z.B." katika lugha ya kifaransa, mwananchi Tshilomba wa Nsimba yuko katika matembezi ya serikali jimboni.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 2 ans
-
Kwako bibi : Haifai kumuachia boy kazi zote
Wabibi wengi wanazani kama wakisha olewa, hawawezi tena kufanya kazi za nyumba kama vile walivyokuwa wakifanya wakati walipokuwa bado wabinti kwao. Kwa nini kubadirisha tabia hiyo nzuri ? Kwa sasa bifulani ukiisha muona bwana anaenda kazini, anakuacha bado kitandani, pahali pa wewe kuamba mapema, unaamja saa nne.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bujiriri Mwangaza
il y a 2 ans
-
Uvira : Majambazi Kadutu, Mutungula na Baroli wametupwa jela
Wangwana wamesama : "Mtoto alikilia wembe, mwachie. Kwani atajuta mwenyewe baadae". Fumbo hilo muhimu nq lenye maadibisho mengi, limetoa matunda yake bora siku hizi mjini Uvira hasa kabisa katika sehemu ya Mulongwe.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Seminari ya maadibisho ya wateule wetu mjini Bukavu imekoma
Tangu siku ya tano tarehe 10 mpaka siku yay pili tarehe 21 Julay, seminari ya maadibisho ya wateule wetu mjini Bukavu iliendeshwa na walimu wa masomo ya wafanyakazi (CIDEP) kunako masomo ya kijamii katika mtaa wa Kadutu (centre social de Kadutu).
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
BUkavu : Vyombo vya muziki vilitolewa kwa kundi la uhimizaji jimboni
Siku ya sita tarehe 18 Julay 1981, vyombo vya kututa muziki vilivyotumwa na Rais Mobutu vilionywa kiserikali mbele ya LIwali wa jimbo la Kivu, mwananchi Mwando Nsimba.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Kindu : Wahuni Londo na Kimuti walinaswa
Siku ya Mungu tarehe 19 Julay 1981, mwenyekiti wa wilaya ya Maniema, mwananchi Mbalanga, alisimamia mkutano moja maalum ya kiraia uliowakusanya wanachama maelfu ambao walionyeshwa wahuni ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Moto unawaka katika mkoa wa Barundi
Kwa wale wasioelewa vizuri mkoa wa Barundi, tnajiruhusu kuwapasha hapa kwamba mkoa ule ni moja kati ya sehemu tatu zinazounda pamoja mtaa wa Uvira. Mkoa wa Barundi wapatikana katika bonde la Ruzizi.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUSEMI KILONDO NKULA
il y a 3 ans
-
Kivu haikupumuwa mbele ya Virunga
Wakati timu za Bukavu, CS Bukavu-Dawa na OC Muungano, zilikuwa zikichuana mjini Bukavu na Bankin toka Goma na Koko toka Uvira, FC Kivu ya Bukavu iliona nyota mbele ya CS Virunga ya Goma.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Vikombe vya jimbo : Bankin ya Goma ilipima mizani yake na Muungano ya Bukavu 2-2
Juma iliyopita, wapendelevu wa mchezo wa kandanda walijielekeza kunako viwanja vya mchezo ule. Wale wa Bukavu walienda kunako kiwanja "Mobutu Sese Seko" cha mtaa wa Kadutu na wenzao kunako uwanja "Volcans" wa Birere.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Lusaka-Zambia : vita vikali vitatukia Namibia
Habari kutoka redio Rwanda zajulisha kuwa Rais Kenneth Kaunda wa Zambia alipana angalisho na kupinga siasa ya makaburu mabeberu ya Afrika ya Kusini kuhusu uhuru wa Namibia.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Somalia : Watu waliuawa na wengine waliumizwa
Wizara ya mambo ya ndani ya Somalia imejulisha kuwa watu walifariki na wengine waliumizwa vikali katika mji wa Ogaden baada ya mashambukizi makali yaliyofanywa na ndege ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Mosku-Urusi : Rais Shagari alitembelea Urusi
Rais Shagari wa Nigeria alitembela siku hizi Urusi. Katika ziara yake ya kiserikali, rais huyo alikutana na mwenzie wa Urusi, bwana Leonid Brejnev katika masimulizi.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Nairobi-Kenya : Raïs Neelam Sanjiva azitembelea nchi za Afrika
Bwana Neelam Reddy, Rais wa Jamhuri ya Uhindi azitembelea siku hizi nchi mbali mbali za Afrika. Katika matembezi yake ya kiserikali.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Bralima ya Bukavu ilifezeesha Flambeau ya Baraka : 7-1 Kati ya F.C. Nyota ya Nyangezi na F.C. Instika ya Kadutu : mchezo ulikuwa mzuri
Siku ya Munu tarehe 31 Mayi 1981, wapendelevu wa kabumbu walihuzuria mapambano ya kandanda kunako uwanja wa Kadutu utwao "Mobutu Sese Seko".
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Mbuji-Mayi : Muungano na Sanga-Balende watezamiwa kuchuana tena
Kama vile tunavyoelewa sisi wote, huu ni wakati Jamhuri yetu yafanyika popote. Kufuatana na kalendari iliyotangazwa na wakuu wa shirikisho la mchezo wa kabumbu jeshi bingwa la jimbo letu-yaani ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Bukavu : Kundi la waganga watatu lachungua magonjwa yanayoshika watu kwa rafla
Tangu sasa juma moja, kundi la waganga watatu linaloundwa na waganga MULUMBA MUKA, BIOGA MUVUNYI na KAKIENZA MWANA MBO lachungua kwa karibu magonjwa makali yanayoshambulia watu wengi kwa mara moja ama "épidémie" katika lugha ya kifaransa.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Kadutu : Makatazwa kuuza na kunywa maziwa mazito
Katika mpango wa kupinga kabisa ugonjwa mkali wa kuhara damu unaowashambulia siku hizi wakaaji wa mikoa nyingi jimboni mwa Kivu, mwenyekiti wa mtaa wa Kadutu ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Kolumbia-Amerika : Gari za mabawa 200 zilifungwa
Gazeti "El Tiempo" inayochapwa Bogota, mji mkuu wa Kolumbia, yajulisha kuwa gari za mabawa yapata 200 nazaidi, kisha uchunguzi mkali wa askari polisi, zimenaswa na serikali ya Kolumba.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Uganda : Watu 60 walifariki ziwani
Habari kutoka Kampata ambazo zilizotangazwa na redio ya Uganda zimejulisha kuwa meli moja ilikokuwa ikisafirisha watu juu ya ziwa Albato (Lac Albert) Kaskazini. Mashariki mwa nchi ya Zaïrena Magharibi mwa nchi ya Uganda ilizama.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Mashauri ya Kati : Sadate na delea mazungumzo yao juu ya amani
Siku hizi, ilimeshimiwa Rais wa Misri, Bwana Anwar El Sabante, alikutana na waziri mkuu wa serikali ya Israeli, Bwana Begin, kusini mwa mlima wa Sinai.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Michezo : Vikombe vya jimbo
Katika michezo ya Kandanda ya kugombea taji la timu bingwa la jimbo, timu mbali mbali zilikutana mijini Uvira na Goma. Ni hivi, siku ya sita tarehe 23 Mayi 1981, wachezaji maarufu wa jeshi la shirika la Bralima walikwaruzana mjini Uvira na wezio wa shirika "Sucki" (Sucrerie de Kiliba) ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kamanyola : Ndugu Murangiza Manyanga na Fololo hawataacha wizi ?
Siko ya nne tarehe 14 Mayi 1981, watoto familia moja, yaani ndugu Murangiza Manyanga na mdogo wake Fololo waliachwa huru ao kufunguliwa katika jela mjini Uvira baada ya kumaliza siku nyingi ya kutuba mali za watu ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Nyuki
il y a 3 ans
-
Amerika : Bob Marley alifariki
Kisha habari hiyo ya furaha tutawapasha hapa haari ya uchungu. Kwani wapiga mziki na wapendelevu wa mziki mtamu na malinga ya "reggae" wapo kilioni baada ya kufariki dunia kwa muimbaji na mpiga mziki wa kisasa ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Abidjan : T.P.O.K. Jazz ilitembelea Pembe la Pwani
Kisha kujitembelea nchini mbali mbali za Ulaya Magharibi mwananchi Luambo Makiadi (mjomba Yorgho) na kundi lake la T.P.O.K. OK JAZZ aliwaburudisha wananchi wa Pembe la Pwani ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Uganda : Askari wafungwa 3.000 waliachwa huru
Siku ya tatu tarehe 27 Mayi 1981, Rais Milton Obote alichukua hatua maalum ya kuwahurumia na kuwaacha huruaskari jeshi elfu tatu waliokuwa wafuasi wa Idi Amin Dada.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Afrika ya Kusini : Wachimba zahabu weusi 1.600 walifukuzwa kazini
Radio "Sauti ya Ufaransa" na "Ujerumani Magharibi" zilitangaza siku ya nne tarehe 28 Mayi 1981 wakati wa asubuhi kuwa, wakuu wa shirika la uchimbaji zahabu ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Zimbabwe : Simba moja aliwatafuna watoto watatu na mama yao
Wakati ambao ulimwengu wote ulikuwa katika matayarisho ya kufurahi kwa shangwe kubwa siku kuu ya wafanyakazi, yaani tarehe moja mayi 1981.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Waziri Mugabe alipokewa kwa shangwe
Kwa upande wake, waziri mkuu nchini Zimbabwe, Bwana Robert Mugabe alipokewa kwa heshima na shangwe kubwa mjini Pékin.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Mufalme Baudouin wa kwanza ataenda Pekin
Siku hizi, magazeti mbali mbali ulimwenguni zilitangaza na kuhakikisha kwamba, mfalme Baudouin wa kwanza nchini Ubeleji anakusudia kabisa kufanya safari yake ya kiserikali mjini Pékin ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Mchezo wa kandanda
Kisha kulaza Simba (Lions) ya Cameroun kwa golimaji Kinshasa, Chui (Léopard) ziliumwa vikali bila huruma nchini Cameroun na jeshi la Simba zilizokuwa na hasira.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Bukavu : Uchunguzi wa watumishi wa serikali umefanyika vema ?
Wakuu wa serikali nchini walipotambua kuwa feza nyingi zatumiwa na kuibwa ovyo kwa kuwalipa bure watu wasiotumika kazi, wale waliokwisha fariki kazi kwa umri wao wa uzee, wale wenye mishahara miwili na zaidi kwa mwezi ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Askari jeshi wanaweza kuomba uito wa maamzi yao
Mnamo tarehe tano septemba 1980, Muudaji wa Chama cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri, Jemadari Mobutu Sese Seko alitia sahihi yake juu ya hatua namba 80-015 kuhusu makorti mbali mbali ya askari jeshi nchini Zaïre.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Liwali Mwando aliwapokea watangazaji habari
Siku ya pili tarehe tano Mayi 1981, mwanamemba wa chumba cha siasa, Liwali wa Kivu Mwando Nsimba Shaba na mkewe, waliwapokea nyumbani mwao watungazaji habari na wake zao katika karamu ya masimulizi.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Askari 10.000 watanzania wazidi kurudi kwao
Kulingana na hatua iliyochukuliwa na Rais Julius Nyerere wa Tanzania, askari wake wengine elfu kumi walianza kurudi nchini mwao tangu siku ya tano tarehe mbili Mayi 1981.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Katibu mkuu Kurt Wadeim alitembelea Urusi
Karibu mkuu wa Baraza la Muungano wa Mataifa (ONU), bwana Kurt Wadeim, alitembelea Urusi. Ukomo wa safari yake huko Mosku, mji mkuu wa Urusi ilikuwa kukutana na wakuu wa nchi hiyo ili kuchungua vema mambo ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Washington -Amerika : Bobby Sands ameaga dunia
Serikali ya Amerika yahakikisha kuwa mpinzani wa mgogoro unaopatikana nchini Irland, bwana Bobyy Sands aliyefanya mgomo wa njaa (grève de la faim) ili wananchi wa Irland ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Belgrade-Yugoslavia : Ukumbusho wa mareshali Tito
Siku ya kwanza tarehe 4 Mayi 1981, wananchi wa Yugoslavia walikutana pamoja katika ukomo wa kusherekea ukumbusho wa mwaka moja tangi kurariki kwa rais waowa kwanza, marehemu Tito.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Uvira : Japokuwa upo mtoto wa Basika, mimi ni dereva wa gari hili
Katika gazeti letu namba 109 lililopigwa chapa tarehe 11 mpaka 17 aprili 1981, tulizungumza na kutoa mashauri fulani yenye kuwaelekea ndugu zetu madereva wa "taxi" na wa magari yahusikayo na usafirishaji watu toka Bukavu mpaka Uvira na kurudi kuhusu tabia yao mbaya.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Liwali wa Kivu ahusika na uchunguzi wa watumishi wa serikali
Kwa kuweza kulipa vema mishahara ya watumishi wa serikali katika mwezi wa nee 1981, makundi mbali mbali yaliundwa kwa kufanya uchunguzi maalum wa wafanyakazi wota wa serikali nchini.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kwako bibi : Kutoa mimba kwaleta vinyume vikali !
Kama tujuavyo sisi wote, kutoa mimba kwaleta vinyumba vingi vibaya hasa kabisa kuharibu afia na paisha ya kina mama kwa upekee na watoto wazaliwa kwa jumla.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Uvira : Wakaaji wakosa amani ?
Hapana ! Tangu siku nyingi sasa wakuu wa serikali jimboni waliruhusu makundi ya askari jeshi yasimikwe mahali mbali mbali mjini Uvira kwa kuweza kukinga usalama wa wakaaji na mali zao.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Makolo aendelea na safari yake ya uchunguzi
Tangu siku ya tatu tarehe 29 aprili 1981, naibu wa Liwali wa Kivu ahusikae na kazi za serikali, mwananchi Makolo Jibikilay ahusika na uchunguzi mbali mbali katika mawilaya ya Kivu ya Kaskazini. Maniema na Kivu ya Kusini.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Saraha Magharibi itashiriki kwenye mkutano wa Naïrobi
Jamhuri ya Kidemokratia ya Sahara Magharibi yatezamia kutuma ujumbe wake mjini Naïrobie, nchini Kenya ili kuomba ikubaliwa kuwa moja kati ya nchi wanamemba wa Umoja wa nchi huru za Afrika (O.U.A.)
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Weusi 28 waliuawa kwa ubaguzi wa rangi mjini Atlanta
Kulingana na habari zilizotangazwa na sauti ya Ujerumani Magharibi yasikika kuwa, Weusi makuli mawili na nane waliuawa katika miezi makumi mawili na moja mjini Athanta ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Shirikisho la Amerika lina watu milioni nane wasiokuwa na kazi
Habari zenye kuaminika toka Washington zahakikisha kwamba, katika shirikisho Amerika mwapatikana watu wapata milioni nane wasiokuwa na kazi yoyote
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kamuronya-Masisi : Kiongozi mpya amesimikwa kiserikali
Siku ya Mungu tarehe 12 Aprili mwaka tunao, kiongozi mpya wa mkoa mdogo wa Kamuronya/Sake, mkoa wa Bahunde katika mtaa wa Masisi mwananchi Mauma Bitsibu, amesimikwa kiserikali katika madaraka yake.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Kalehe-Rutshuru : Ugonjwa wa Kuhara damu wazidi kutawanyika na kuteketeza wakaaji
Mnamo siku zilizopita tuliwajulisha wasomaji wetu kuwa, wanapashwa kufanya angalisho kubwa kwa kuepuka ugonjwa wa hatari wa kuhara damu uiokwisha shambulia mtaa wa Rutshuru.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Kwako bibi : Umri wa uzee ndio wapoteza hasa uzazi
Kisha kutimiza umri wa miaka fulani ya kuzaliwa, wanawake kupoteza uzazi (mwanzo wa uzee). Umri huo wapatikana kati ya miaka 47 na 51 ya kuzaliwa kwa wanawake.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Kasindi-Beni-Rutshuru-Ishasha : Barabara za shehemu hizo zashurulikiwa
Mtaalam jimboni katika kazi za ujenzi wa barabara na vilalo, bwan Chapon alipokewa katika masimulizi ya kikazi na mwanamemba wa chumba cha siasa, Liwali Mwando Nsimba Shab ambamo walizungumza mengi kuhusu ma barabara toka Kasindi, Beni, Rutshuru na Ishasha.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Bukavu : Mwananchi Kapajika Kalota amkomboa mwenzie Namufetha
Baada ya Kumkomboa kazini mwake mwanzie Namufetha wa Mulumba, katibu mpya wa vijana katika Chama cha Mapinduzi jimboni, mwananchi Kapajika Kalota alionyeshwa kiserikali mbele ya wasaidizi wake wote mjini Bukavu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Askofu Tshibangu alizungumza juu ya ujio wa Uniwasti katika mwaka elfu mbili
Tangu tarehe 8 mpaka 11 Aprili 1981, kiongozi wa Univasti nchini (recteur de l'UNAZA), Askofu Tshiangu Tshishiku, alifanya safari yake yakikazi mchini Bukavu akitokea Bujumbura, makao makuu ya Jamhuri ya Burudi ambako alikutana na wenzie wa Univasti za Rwanda na Burundi ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Rais Obote akusudia kurudisha mahusiano bora na Sudan
Habari zinazoaminika za julisha kuwa, Rais Milton Obote wa Uganda alikutana mjini Khartoum katika masimulizi ya kikazi na mwenzie Jemadari Gaffar El Nimeiry wa Soudan.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Vita vya kienyeji vyaendeleshwa nchini Salvador
Redio ya Ufaransa mjini Paris, imetangaza siku ya nne wakati wa saa nne za usiku kuwa, tangu siku ya kwanza tarehe 20 Aprili 1981, vita vya kienyeji (guérilla) ni vyenye kuandeshwa katika vijijini mbali mbali nchini Salvadr.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Amerika : itauzia tena Urusi unga wa ngano
Shirikisho la Amerika imetangaza siku hizi kuwa, itaanza tena kuuzia Uruzi unga wa ngano. Tutakumbuka kuwa, mnamo siku zilizopita shirikisho la Amerika limechukua hatua ya kuacha kuuzia Uruziunga wa ngano kutokana na maingilio yake ya kijesheshi katika Jamhuri ya Afganistan.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kanuni mpya ya malipo ya walimu
Mnamo tarehe 13 Marsi mwaka 1981, baraza za mawaziri lilikutana mjini Kinshasa na kuchungua jinsi bora na limu katika masomo ya msingi na ya sekondari.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Kwako bibi : Ni vizuri kumueleza mmewe makosa yote ye ndugu zake ?
Kina dada, wewe ni mke mwenye ndoa. Nyumbani mwako unaishi pamoja na wakwe, shemeki ao ndugu za mme wako.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kilimo, ufugo, uvuvi, mawindo n ujenzi wa mabarabara ndivyo ngao ya maisha bora
Ndugu, yara kabisa tuwe na moyo, juhudi na mazoezi bora ya kukubali makosa yetu ao mambo fulani mabaya tuliyotanya katika kudanganyika ao kudanganyiwa ili tupate kuyatengeneza baadae nakurudi katika njia ya usawa.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Somalia na Ethiopia zawaza kusikilizana
Baada ya masimulizi yaliyofanyika kati ya wataalam wa jamhuri ya za Ufaransa na Somalia, Rais Hassan wa Jamhuri ya Djibouti alihimiza na kuonya wazi nia yake ya kutaka masikilizano na mahusiano bora yarudi kati ya Jamhuri ndugu na jirani za Somalia na Ethiopia kama ilivyokuwa mnamo siku zilizopita.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Umoja wa nchi huru za Afrika walaumu vikali vita vya Sahara
Rais Stevens wa Sierra Leone, alie pia prezidenti kwa sasa wa Baraza la Umoja wa nchi huru za Aliyesindikizwa na katibu mkuu wa Baraza hiio, bwana Edden Kodjo waliwasili mjini Rabat ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Watu 7 waliuawa na majambazi nchini "Pays-Bas"
Katika miezi mitatu, watu kumi na saba waliuawa nchini "Pays-Bas" na majambazi wasiojulikana bado (terroristes). Kati ya watu hao kumi na saba, watatu wao waliuawa mnamo siku hizi za mwisho wakiwemo siku hiziza mwisho wakiwemo kiongozi mmoja katika vyumba vya kazi za serikali na maakida wawili majeshiri.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Bashige alisimamia seminari ya "Aneza-Kabare"
Mnamo siku zilizopita, shirika la muungano wa wachuuzi na wafanyabiashara wadogo na wakuu nchini katika mtaa wa Kabare, "Aneza-Kabare" ilisimamia seminari moja maalum kabisi iliyodumu muda wa siku mbili katika makao wa mtaa huo chini ya uchunguzi wa prezidenti wa kamati hiyo, mwananchi Bashige Buyungu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Sowa asimika mabomba za maji katika Bonde la Ruzizi
Tangu mwaka 1978, mtaalam ao enjinia katika kazi za kuchimba mifereji, visiwa na kusilika bomba za maji safi ya kunyiwa katika sehemu ya Kaskazini - Mashariki nchini Zaïre,mwananchi Sowa ameshurulika na kazi hizo muhimu katika vijini vya Rubare ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Yafaa maderewa waheshimu wasafiri wao !
Mapendo, adabu na heshima, ni mambo ya lazima kabisa katika maisha ya binadamu. Ni hivi, kila dini, wazazi wetu na masomoni twafundishwa na kuombwa kila mara tuwe na mapendo ya kweli kati yetu, yulindiane adabu na kuheshimiana.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Ryad-Arabia : Uhusiano kati ya Arabia na Afghanistan umevunjwa
Habari kutoka redio Rwanda zajulisha kuwe uhusiano kati ya Arabia na Afghanistan umevunjwa kutokana na serikali ya nchi hiyo kuhusiana na Urusi wakitengemea hivi vikosi, silaha za vita vipatikanavyo nchini ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Freetown/ Sierra-Leone : Mkutano wa Umoja wa Mataifa
Huko Freetown, mkutano wa Umoja wa mataifa ulikutana kuhusu uchumi kati ya mataifa huru ya Afrika. Katika mpango huo, katika mkuu wa muungano wa kiuchumi wa nchi huru za Afrika zijiunge pamoja ....
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Washington-Amerika : Yafaa Namibia iwe huru kabisa
Ujumbe moja maalum toka Marekani unaongozwa na bwana Peter utawasili katika nchi mbalimbali za Afrika. Habari zinazoaminika zahakitisha kuwa rais mpya wa shirikisho la Amerika bwana Reagan ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kampala-Uganda : Angalisho imepewa kwa maharamia
Waziri ahusikae na usalama na amani nchini Uganda, alipana angalisho kwa mkaaji yeyote anayepinga serikali pya inayoongoza na Rais Milton Obote.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Bamuguba-Kigulube : Ubaguzi wa dini waharibu pia maendeleo na masikilizano kati ya makaaji !
Zaidi ya matatizo na magumu mbali mbali, kuna ubaguzi wa dini unaoharibu maendeleo ujenzi na masikilizano kati ya wakaaji wa mkoa mdogow a Bamuguba, mkoa wa Kigulube, mtaa wa Shabunda.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kadutu : Wevi kumi na moja walikwisha naswa
Tangu mwenyekiti wa mtaa wa Kadutu, mwananchi Mulyanga Mugobe kuchukua hatua muhimu ya kukomesha uhuni, wevi kumi na moja walikwisha anguka katika nyavu za askari walinzi wa usawa mikoani mtaani humo.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Banda : Mwananchi Otshudi katika mikoa mbalimbali ua mji wa Bukavu
Mwananchi Otshudi Yolama, katibu wa Chama ahusikae na uhimizaji pia maadibisho ya siasa jimboni alitembelea siku hizi mikoa mbalimbali ya mji wa Bukavu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Bukavu : Vyombo vipya vya Sauti ya Zaïre vimefika
Baada ya kubaki mjini Kinshasa na kurejea nyumbani pa Bukavu, kiongozi kwa muda wa chumba cha kazi za serikali kihusikacho na upeperushaji wa habari kwa njia ya redio, mwananchi Katshunga Shabani alijulisha kuwa, vyombo vipya vya Sauti ya Zaïre mjini Bukavu vimefika.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
"Cimenterie de Katana" itaanza tena kazi zake
Habari zenye kuaminika zaeleza kuwa, mnamo siku zijazo, shirika lihusikalo na utengenezaji wa simenti (seruji) katika mkoa mdogo wa Katana (Cimenterie de Katana) litaanza tena kazi zake za kutengeneza kifaa hicho.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kivu ya Kaskazini : Mwananchi Likita afasiria hali kamili ya wilaya yake
Mnamo siku zilizopita, kiongozi wa wilaya ya Kivu ya Kaskazini, mwananchi Likita alimpokea katika masimulizi waandishi wa habari wa Bukavu. Masimulizi hayo yalielekea hasa hali kamili ya kazi katika wilaya anayoongoza.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Uganda : Mauti kumi na nne zimeokotwa porini
Juma hii, mauti ya watu kumi na wanne, wakitambulikana kati yao watoto wawili wenye umri wa kufwata masomo zimeokotwa katika pori moja nchini Uganda.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Afrika ya kusini : Askari wa kukodiwa toka Ulaya Magharibi ni wengi
Siku hizi, radio mbali mbali ulimwenguni kote zahakikisha kwamba askari wengi wa kukodiwa toka Ulaya ya Magharibi na shirikisho la Amerika ni wengi katika Jamhuri isiyokuwa halali ya Afrika ya Kusini.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Harare : Mahusiano yadumisha kati ya Amerika na Zimbabwe
Habari zinazominika zajulisha kuwa, ujumbe moja maalum toka Marekani ulioongozwa na bwana Peter uliwasili kiserikali pa Harare, mji mkuu wa Zimbabwe.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Habari za kiaskari : Jemadari Singa alichukuwa hatua muhimu
Baada ya kutambua kama wamoja kati ya askari jeshi wetu walianza kuzaramu na kusahau kabisa mapashwa, mwendendo na kanuni z kazi yao, mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa ambaye ni mmoja ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Wamza-Kabambare : Kalanga yakosa wanunuzi
Wamaza ni moja kati ya mikoa mnamo limwa ama mbali ya chakula katina mtaa wa Kabambare, wilaya ya Maniema.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Bukavu : Angalisho kwa wakaaji
Ugonjwa mkali wa huhara unaombukia na kuwaangamiza vikali siku hizi wakaaji wa Kivu ya Kaskazini; ungonjwa ambao ulitokea katika kijiji ona Kisenyi ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Tunizia : Mawaziri wa nchi za kiislamu walikutana
Mkutano wa mawaziri wa nchi za kiislamu wahusikao na mambo ya kigani ulifanyika nchini Tunizia. Katika mkutano huo, Moritania ilishtaki Moroko kuwa iliwasaidia maharamia kutaka kuipindua serikali mpya.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kampala-Uganda : Waganda wafukuzwa nchini Kenya
Gazeti "Uganda Times" lashtaki nchi ya Kenya kwa hatua kati iliyochukuliwa na serikali na kuwafukuza raia wa Uganda nchini humo bila sababu yoyote.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kigali : Nchi za Rwanda, Burundi na Tanzania zilikutana
Habari kutoka Rwanda zajulisha kuwa mkutano moja maalum uifanyika jumaa hii kati kati ya nchi za Rwanda, Burundi na Tanzania kuhusu uchumi wa mali kati ya nchi zipatikanazo kandokado ya bonde la mto wa Kagera ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Mwenga : Mwananchi Bitinapaga anakusudia kutengeneza upya mabarabara ya mikoa
Siku hizi, mwenyekiti wa mtaa wa Mwenga mwananchi Bitiapaga ni mwenye kukusudia kabisa kutengeza upya mabarabra ya mikao mtaani mwake hasa kabisa yale ya Burhinyi, Wamuzimu na Itombwe.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Bukavu : Siku arbaini za mwizi mkuu "Ours" zimetimia !
Wangwana wamesema kuwa : "siku za mwizi ni arbaini t !" Siku hizo arbaini (kamumi nne) zinapaona, sherti kabisa ujanja na upuuzi wa mwuizi huo ukomeswa.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwanasiasa na katibu mkuu katika bunge Birere : "Yafaa wanachama wote wamsaidie Rais Mobutu Kumaliza magumu nchini"
Siku hizi, mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa nchini aliye pia katibu mkuu katika baraza ja wabunge, mwananchi Birere Mabano aliyekuwa katika mapumziko mjini Bikavu ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Nouakchott : Moritania yavunja mahusiano ya kibalozi na Moro o.
Habari zenye kuaminika toka chumba cha weziri ahusikae na mambo ya nje pia mahsiano bora mjini Nouakchott (Moritania) zahakikisha kuwa, baada ya kugundua mazumuni ya kutaka Rais Aidallah nchini Moritania ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
RAis Obote awaalika wafuasi wa Idi Amin kurejea nyumbani
Lakini, tarehe kamili na ya mwisho ya kurudi kwa wafuasi hao wa zamani wa Idi Amin Dada hazijakamilishwa bado. Ila, ilijulishwa kama wale wananchi ambao hawawezi kurejea mbele tarehe kakayokamilishwa, hawaweza tena kukubadiliwa na kupokewa nchini Uganda.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwami Lenge wa tatu :"Tuungane kwa ujio bora wa watoto wetu !"
Siku ya kwanza tarehe mbili Marsi 1981, Mwami Lenge wa tatu Rugaza Kabale wa mkoa wa Bavira alisimamia mkutano moja maalum pa Kabindula, makoa makuu ya usultani na wa mkoa wake na kuwashauri wasaidizi wake waungane pamoja kwa maendeleo na ujio bora wa watoto wao.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mnamo miaka kumi ijoya Kivu ya Kaskazini itakuwa na wanyama wa ufugo milioni moja
Jamhuri yetu ya Zaïre, ni yenye kuwa na utajiri mwingi na wa umbalimbali unaopashwa kuepusha Taifa letu magumu yote yanayoiangamiza nyakati hizi.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Mutiri-wa-Bashara
il y a 3 ans
-
Rwanda : Raia na wanajeshi walipewa Nishani
Habari kutoka Rwanda zatujulisha kuwa siku ya pili tarehe 10 februari 1981, Jemadari Habyarimana, rais wa Rwanda, alipana medali kwa wanajeshi mia salasini na sita (136) na waraia sitini na saba (67).
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Tunisia : Uhusiano kati ya Tunizia na Zaïre wadumushwa
Habari kutoka redio Rwanda zajulisha kuwa uhusiano kati ya Jamhuri za Tunisia na Zaïre wadumishwa. Ni hivi nchi ya Tunisia yashidia kujenga chuo cha majifunzo yay uongozi wa kazi za serikali mjini Kinshasa (administration et fonction publique).
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Pakistani : Gari la mabawa lilitekwa nyara
Siku zilizopita, gari labawa lashirika la Pakistani lilitekwa nyara na waharamia watatu wa jamaa moja na kujielekeza Damad mji kuu wa chi ya syria.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kenya : Rais Arap Moï aendelea na ziara za kiserikali katika nchi mbalimbali
Kisha kuzitembelea nchi mbalimbali za Bora la Asia, Rais Arap Moï wa Kenya aenza kuzitembelea sasa nchi za Bora la Afrikaakianza na Nigeria atakamobaki muda wa siku nne.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Amerika : Utawala wa Rais Reagan wa punguza misaada ya kiserikali
Wamerekani wakusudia kuipunguza misaada ya kiserikali duniani. Ila yaminika kuwa misaada itatolewa kwa nchi za Kenya.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Ujapani : Papa Yoane Paulo wa pili aliwataja mawhahidi 16 kuwa wenyiheri
Kwa mara ya kwanza katika istoria ya kanisa katolika, Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane Paulo wa pili aliwataja mashahidi 16 kuwa wenyiheri (bien heureux) nja wa mji wa Roma.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Habari za popote : Bukavu
Kiongozi wa ofisi yenyi kuhusika na uchunguzi wa usafirishaji wa bizaa mipakani (Ofida), aliwasili mjini Bukavu ambako aliongoza kazi za seminari juu ya elimu na maelezo kazaa kwa wafanyakazi wa ofisi hiyo.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kinshasa : Mipango mipya kwa kutangaza enjili
Tangu tarehe 7 hadi 14 aprili iliyopita, wachungaji (pasteurs) wa makanisa mbali mbali ya kiprotestanti walikusanyika kwenyi "Lycée Dr. Shaumba"...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Lubunga K'Yoba
il y a 3 ans
-
ITALIA
Bwana Ali Agça aliyetaka kumuua Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane-Paolo wa pili alieleza mbele ya waamzi ya kuwa silaha aliyotumia kwa kumpiga Baba Mtakatifu risasi na hivi kumuondowa dunia...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Kamati kuu ya itafungua mkutano wake wa 10 mnamo tarehe 30 Septemba 1985
Kulingana na habari zlilizotolewa na katiba imara ya kamati kuu ya Chama, kamati hiyo itafungua mkuyano wake wa kumi wa kawaida mnamo siku ya kwanza tarejhe 30 septemba 1985.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Amitabh Bachchan "Deewar" ageuka mwana-siasa
Kufuatana na habari zilizotolewa na mwandishi wetu Lubunga Bya 'Ombe toka Kinshasa, yasemekana kuwa Amitabh Bachchan, bingwa katika michezo ya sinema ajulikananae kwa jina la "Deewar" alichaguliwa hapo majuzi kama mteule (député) wa jimbo la UTTAR-PRADESH nchini India baada...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 3 ans
-
Wakati gani kupewa posho?
Ikiwa tunazungumza katika maandishi yetu na kujiuiza wakati gani ambao kina mama aweza kupewa kwa kulisha familia yake, ni sababu ya malambiko mengi ya nayotufikia toka pepo nne za jimbo letu kuhusu fujo inayotukia wakati mabwana mapokea mishahara yao.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Kivu ya kushini: Waunguzi wa asili waendelea vema na kazi zao
Mnamo siku zilizapita kiongozi kwa muda wa kamati ya waunguzi wa asili (wafumu) katika wilaya ya Kivu ya kusini, muananchi Kakozi Kithesi alisimamia mkutano moja maalum wa mwisho wa mwaka ambano alijifunza pamoja na mwezie...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kamati ya vijana watumishi imesiimikwa katika shirika B. ISRAEL
Siku ya sita tarehe 20 Decemba 1980, kamati ya vijana watumishi katika chama cha Mapinduzi katika shirika "B. Israël et Fils" imesimikwa na kuonywa kiserikali kunako hoteli Metropole mbele ya mwenyekiti wa mji ya Bukavu, muananchi Lokomba Kumuadeboni.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Bukavu: Shirika ya "S.N.C.Z ." laonya mfano bora !
Tangu wakati ambao viongozi wa shirika la kiserikali lihusikalo na uchukuzi pia usafirishaji wa biashara, mizigo na binadamu mwa jia ya treni na meli, yaani "société nationale des chemins de fer du Zaïre" walitambwa kwamba maisha yana...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 3 ans
-
Bukavu: Kikundi cha uhimizaji jimboni kilionywa kwa wakaaji
Siku ya pili tarehe tisa Desemba 1980, naibu wa liwali wa kivu ahusikaye na mwenendo bora wa chama cha Mapinduzi jimboni, mwananchi djoho tayeta
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 4 ans
-
Kwako Bidi: tutunze vema vidonda vya kutokana na moto
Mara nyingi, watoto wetu huungua kwa maji ya moto, mafuta yanayochemshwa kwa kukaanga chakula, chai ao maziwa, mvuke wa sufuria jikoni na kazalika.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
Kindu: Mwananchi Mbalanga aliwaomba wenyeji wa mahoteli waheshimu wapangaji
Siku hizi, mwenyekiti wa whaya ya Maniema mwananchi Mbalanga alisimama mkutano maalum wa kikazi ambano anzungunza kimapinduzi na we.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Enyi ndugu tuliowachagua, mnasahau kazi zenu asbabu ya uchuuzi?
wakati uchaguzi uliendeshwa popote nchini mwaka 1977, ndugu zetu waliongombea nafasi katika chumba cha siasa
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Bukavu: Yafaa viongozi wa mikoa washurulike zaidi na miporomoko ya udongo
Zaidi ya juhudi zinazofanywa daima na kamati ihusikayo na ukingo pia maendeleo na ujenzi wamji wa Bukavu
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Guinea-Bisau: Raïs wa zamani Luis Cabral alipinduliwa na waziri wake Arestides Perreira
Siku ya tano tarehe 14 nchini humo katika ukomo Novemba 1980, Rais wa wa kumuunga mkono Raïs zamani nchini Guinea-Bisau Mpya, Bwana Arestides Perreira
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 4 ans
-
Afrika ya Kusini: Wazungu huzidi kuwaua weusi
Habari zenye kuaminika wa serikali haramu ya Afrika ambazo zilitangazwa na radio ya kusini wazidi kukanusha mbali mbali ulimwenguni zaha
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 4 ans
-
Malkia Modjaji alifariki akiwa na umri wa miaka 75
Habari zenye kuaminika, na ambazo zilitangazwa siku hizi na radio mbali mbali ulimwenguni zahakikisha kuwa
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 4 ans
-
Zaïre na Amerika zahusika na "P.A.M."
Siku hizi, wakuu wa serikali ya Zaïre na wale wa Amerika wametia sahihi zao juu ya patano moja
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUSEMI KILONDO NKULA
il y a 4 ans
-
Magendo: ugonjwa unawaambukia wakubwa na wadogo
Kama tunavyoelewa sisi, sote, ulimwengu wapatwa na magumu mengi.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 4 ans
-
"UNTZA" yahusika na maisha ya wanawake wanaotumika
Hi ni sehemu ya mwisho ya habari zilizotangazwa juu ya matembezi ya kina bibi Mwadi wa UNTZA Jimboni.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
Fizi: Mwananchi Ngiloaliwahimiza wakaaji washurulike na kilimo
Siku hizi, mwenye kiti wa wilaya ya kivu ya kusini, mwananchi Ngilo, alifanya safari ya uchunguzi katika mtaa wa Fizi.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 4 ans
-
Safari ya mwananchi Makolo kindu na Goma
Liwali wa kivu, mwananchi Mwando Nsimba, aliwakilishwa kindu na naibu wake ahusikaye na uchunguzi wa kazi za serikali
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
sange-Luberizi: Mwananchi ilondo Efambe alichungua kituo cha mlimo na ufugo cha "J.M.P.R."
Baada ya kufika mjini bukavu na kuonywa chumba chake cha kazi, naibu wa kiongozi wa vijana katika chama cha Mapinduzi jimboji ambaye ahusika na uongozi wa tawi la kilimo
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Angalisho: Maji machafu ni msingi wa magonjwa mengi
Ukosefu wa maji safi ya kunywa na pia uendeshaji vibaya wa kazi za kuwatibu wakaaji (absence de systèmes sanitaires)
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 4 ans
-
ANEZA/ Kabare yahusika kabisa na Plan Mobutu
Siku hizi, mwenzi wetu ndugu tisa mayele kamondo wa sauti ya Zaïre mjini Bukavu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
mwananchi Chizungu Bahirwe alitajwa kuwa kiongozi wa katana
Siku ya tano tarehe 31 Oktoba 1980, naibu wa mwenyekiti wa mtaa wa kabare, mwananchi Madua, alijielekeza pa Irhambi, mkoa mdogo wa katana,
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
CECA ni katika kilio
Mnamo siku ya Mungu tarehe 10/8/80 ndugu mpendwa katika kristo, Matenda >asso ameaga dunia
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 5 ans
-
Zimbabwe yawatukuza mashahidi wake Tongorare: Moyo na Merbert
Siku ya pili tarehe 12 Agosti mwaka huu uvumbi uliruka angani mjini harare (jina jipya la mji mkuu wa zimbabwe) wakati raia walifanya sherehe za kuwatukuza hayati jemadari josiah Tongonare na wenzie wazalendo
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 5 ans
-
Bei ya nyama inapandishwa na walinda amani katika soko kuu
Leo ninapokuandikia banua hii, kisa ni kukueleza mambo niliyoyaona wakati nilipokuwa matembezini katika mji wa Bukavu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 5 ans
-
Mwananchi Kasali: "AMANI imekwisha rudi Kivu ya Kusini"
Akiwa njiani kwenda Isiro ambako alitumwa na serikali, mwananchi kasali kalumbwa bin rutuku aliwapokea kwa masimulizi wapashaji habari wa bukavu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Kaboyi Habimana
il y a 5 ans
-
Bukavu: Kwa nini wachunguzi wa bei hawasaidie serikali kuleta usawa magukani na sokoni
Kila mmoja wetu ajidai kuwa mwananchi wa kweli.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
KINSHASA: Mwananchi konde alihotubia wakuu wa magazeti
Baada ya kazi za mkutano wao mkuu (congrès) wa wapashaji kutoka majimbo waliokutana na wenzao wa kinshasa, viongozi wa mwananchi ko.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 5 ans
-
ZIMBABWE: Mugabe amewaambia Wazungu: "serikali haitawanyanganya mashamba yenu"
Baada ya kufanya malembezi yake ya kiserkali katika wilaya ya gomonzi, wilaya yenye
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
il y a 5 ans
-
KWAKO BIBI: Ni nani hazae kati ya bwana na bibi?
Wakati uzazi wakosekana katika familia fulani, watu wengi huzazi kuwa ni nini tu ndiye asiye na uwezo wa kuza.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 5 ans