• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Alifunga ndowa kisiri lakini ...
    Macho ya mbwa hayazui mwanaume kula. Kweli siku zilizopita, katika mitaa wa Kadutu, mwananchi moja alifunga ndoa kisiri bila kumuarifu mkewe wa kwanza. Kwa nini hivyo ?
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Kwa nini kujilevya ?
    Wewe bibi wa mkoa wa Maniema katika mtaa wa Ibanda, hata hukiwa mke wa pili (2e bureau) kwa nini kuchukua mtoto wako na kunywa pombe bila kukadirisha, kujilevya kama chawa usiku ?
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Uheshimu mwili wako
    Siku hizi, kina dada wengi hujizaraulisha. Furaha za dunia zawatuwa kutangatanga popote kama vile mabata. Na baada ya magumu yanayotukia nyumba, sawa vile mimba, hujiruhusu kuitoa kwa dawa fulani wasijojua matumizi yao kamili.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • "Iyolela" yaleta magomvi
    Mara nyingi wakati kina dada na mama wakutana katika mazungumzo watumia msemwa "Iyolela" kwa kuonyesha faraha, mazarau ao ... wakati mwengine watumia msemwa huo kwa uchokozi.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Suruali ya kiongozi ililoana
    "Yafaa kueshimu kazi za wengine. Kionozi mmoja katika chumba fulani cha serikali,, ni mwenye mazoeni mabaya ya kuwasumbua wasaidizi wake, hasa kabisa wale wanaohusika na kazi za kufagia chumba chake cha kazi.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Kiwete Moka asaidiwe ?
    Mwaka 1981, ulitangazwa kuwa utashurulikiwa nchini mwetu na kuinua maisha ya kijamii. Shirikisho la Umoja wa mataifa huru ulimwenguni, lilikusudia kwa upande wake kushurulika hasa na kuinua maisha ya viwete.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Ngaliza Mulimusho alijifezeesha
    "Utartibu wavuta heri !" Lakini, siku ya sita tarehe 23 Mayi 1981, ilitambulikana wazi kuwa ndugu Ngaliza Mulimusho hajaelewa ao kuheshimu bado shauri hilo lazima kabisa kwa kuwa yeye ni mmoja katika wepwa wa mwenye garinamba ...
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Eh, mama ... "kwenda kulala"
    Mmoja kati ya wasomaji wetu na wanangazaji wa kipindi mbali mbali kwenye televisheni, walikwisha kujiuliza mara nyingi na kuwaghauri wazazi kuhugu mipango na vipindi wanavyopashwa kuwaruhusu watoto wao wafuate kwenye "televisheni".
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • "Essence" zinazonyangaywa zinapelekwa wapi ?
    Kwa kutaka kupinga na kukomesha kabisa uuzaji wa "essence" na 'mazout" kimagendo popote mjini Bukavu, wakuu wa serikali jimboniwalichukua hatua ya kukataza uuzaji wa vifaa hivyo manyumbani na mahali pengine pote pasipokuwa stesheni.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Vyombo vya uuzaji chakula sokoni ni visafi !
    Usafi, ndio ngao ya maisha bora ya kila binadamu. Jambo la kushangaza ni kuona kama wamoja kati yetu hawajajua umuhimu (importance) wa kanuni za usafi hasa kabisa wale wenye vyumba vya uuzajii chakula sokoni.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Mnofu wa nyama waharibu zamiri yao ya kazi !
    Wachunguzi wa nyama na wachunguzi wa bei madukani, sokani na popote mjini Bukavu walikwisha pevuka na kuharibu zamiri yao ya kazi sababu ya mnofu wa nyama wanaotolewa kila siku na wachuuzi wa chakula hicho.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Nipo na wazimu, nyinyi watu wasio na akili
    Kujiheshimu, ni jambo muhimu kabisa. Siku ya Mungu tarehe 9 Mayi 1981 wakati wa saa kumi za chana, vijana wawili walijiruhusu kumzomea na kumtusi bure mwenda wazimu "Fabien".
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Mme wangu, ulikwenda Uvira ?
    Ndugu mmoja alimdanganya mke wake et ametumwa na wakuu wake wa kazi Uvira muda wa siku tatu. Baada ya kufunga vitu vyake, alichukua gari na kujielekeza moja kwa moja mpaka kwenye hoteli "La Frégate" alipopatana na kimada wake.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Madereva wa magari toka Uvira-Bukavu wanazidisha magendo
    Kwa kuepuka wasafiri toka Uvira - Bukavu - na Uvira wasichelewe zaidi kwenye mipaka, wakuu wa serikali jimboni walichukua hatua ya kupunguza vyumba vya kazi zingine na kuwaemba watumishi wa "O.F.I.D.A." pa Ruzizi ya pili na Kamanyola wasikafilishe na uchunguzi wao wa mizigo.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Wachuuzi wa vitika na kalanga wachafua pia mji
    Mji wa Bukavu wazidi tu kupoteza kila mwenda siku uzuri na usafi wake wa zamani, kubomoka kwa mifereji, kutoboka kwa bomba za choo, uchafu wa viozo na mizoga ya mbwa wanaokufa na kuchelewa mabarabarani ukosefu wa mashimo ...
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • "Taxi" za uwongo ni nyingi mno usiku
    Kwa kuepuka wasilipishwe kodi ya magari "taxi" na ukosefu wa makarkasi mbali mbali ya kiserikali yanayoombwa kwa wenye kufanya kazi hiyo, wananchi wengi walikwisha vumbua werevu mwengine wa kuiba serikali na wakaaji.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Kanyanga haiwapendaki ?
    Yule kaka na mke wake wapatikanao katika barabara itwayo Kibombo, katika mtaa wa Ibanda, kanyanga ao lutuku haiwapendaki.
    Tunongonezane il y a 3 ans
  • Binti ya mwenzako ni "Kitovero" ?
    Siku hizi, wazazi wengi wanawake kama vile wanaume hawajui ku jiheshimu. Ni hivi utawasikia kina mama wamoja wenye umri mkuu kujigeuza marifiki ao vimada wa watoto wadogo na kujisifu eti : "tutoto todogo ndio twenye kutufaa vizuri kimwili".
    Tunongonezane il y a 3 ans