• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Mgomo wa wafanyabiashara pa Kamituga
    Kiongozi wa umoja wa wafanyabiashara wa mtaa wa Mwenga (Aneza), bwana Masumbuko Kyalumba kafanya ziara ya kazi mjini Bukavu kwa kutafuta kutatutua shida iliyokabili wachuuzi wa mtaa huo.
    Swahili il y a 3 ans
  • Ijali ya gari pa Isango
    Ajali ya gari imetokea mnamo siku ya posho tarehe 31 agosti 1996 huko kibindibindi kunako ulalo wa mto isango kati ya kitutu na misioni ya kiprotestanti ya nyamibungu mtaani Mwenga
    Swahili il y a 3 ans
  • Mobutu hospitalini mchini Uswisi!
    Ni tangu tarehe 22 agusti 1996, mareshali Mobutu Sese Seko, Prezidenti wa jamhuri ya zaïre kajielekeza mjini Geneva nchini Uwisi kwa ajiji ya kuttunzwa ugonjwa wa Kansa ya Prostate.
    Swahili il y a 3 ans
  • Bwegera: Mahali pa kuchunguzwa vema
    Katika bonde la Ruzizi, njiani pa kwenda Uvira, kati ya Kamanyola na Sange, kuna mahali paitwapo Bwegera huko ambako abiria na wapita njia wajinunuliwa maziwa ya ngombe.
    Swahili il y a 3 ans
  • Maadibisho Bora
    Kwakweli, imeonekana kuwa wazazi wengi hukwepa kwa sasa mapaswa ya kuwalea vema na kuwaadibisha watoto wao. Na dalili nyingi za kuonya kitendo hicho zinazidi kujitokeza siku kwa siku hapa nchini na hasa zaidi katika miji mikubwa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uhariri: Bonana, mwaka mpya 1991
    Mwaka 1990 kapita labda kama umeme. Twafurahia sasa mwaka 1991. Kweli mambo yamefyatuka kwa mwendo wa kuruka kama kunguru kwa ginsi tukitupa jicho nyama tutajionea wenyewe namna gani mwaka 1990 wabeba mzigo wa magumu ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Zaïre: Raia bado katika uwasiwasi
    Kutokana na maelezo katoa spika wa Baraza la mawaziri siku zilizopita kuhusu maoni ya serikali juu ya kidemokrasia, yahitajika nchini na hasa inayoelekea uwingi wa vyama, uchumi na siasa ya kijamii, bado uwasiwasi washika raia siku kwa siku
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Utamaduni: Dada Mastaki Nyabana "Lili" kachaguliwa binti mzuri wa mji wa Bukavu na wa jimbo la Kivu ya Kusini
    Akiwa na umri wa miaka 18 na miezi mitano, dada Mastaki Nyabana "Lili" kachaguliwa mnamo tarehe 12 Ogusti 1990 kunako Soko la kiuchumi na kiutamaduni la mji wa Bukavu kama vile kijana binti mzuri kuliko hao waliojionya mjini Bukavu na jimboni lote la Kivu ya Kusini.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Je, umesikia ...?
    KUWA katika mmkoa wa Buholo II mke moja toka Kinshasa ... kuiba mtoto moja mke mwenyi umri wa miaka 9 ...
    Swahili il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Usafi wa nymba waonya zamiri yako, mama
    Kila mutu anayejiona mngwena anayo taarifa ya kai zake. Iwenyumbani wala kazini. Huyu ajua mbele ya wakati kazi gani atafanya paa saa Kamili. Ni wazi taarifa hiyo yaweza kubadili kutokana na visa fulani.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Afrika ya Kusini: Maadui wa Mandela kavumbuliwa
    Maadui wa Mandela kavumbuliwa. Mfungwa mashuhuri ulilmwenguni, aliyekuwa huru miezi tano sasa, na mzaliwa wa Afrika ya Kusini katembelea shirikisho la Amerika.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uhariri: Mkuu kwa wote
    Miaka 2000 kapita tangu hapo Yesu wa Nazareti kashulubiwa na kufariki msalbani kwa kuwaokoa watu. Ni hiyo kwa mapenzi ya Babaye. Yesu kweli kajitolea. Kifo chake ni mwanzo wa maisha mapya ya waumini na wa wasio waumini.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Maniema: Raïa walaumu Kithima na Tshiala
    Hapo majuzi, mnamo mwezi wa Julay (saba) 1990, bwana Kithima bin Ramazani hapo zamani katibu mkuu wa Chama Mapinduzi "MPR", kakusanya mjini Kindu raïa wa mji wa Kindu waliojielimisha.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Zaire: Serkali yakubali migomo, bali ...
    Baraza la mawaziri kaundwa baada ya hotuba ya Raïs wa Jamhuri mnamo tarehe 24 Aprili 1990 kaleta mabadilliko mengi na muhimu katika siasa ya nchi Zaïre tangu hapo kasimikwa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Je, umesikia ...?
    KUWA namna "Salongo" yaendeshwa kila siku y tatu mjini Bukavu yauzikisha wakaaji ? Kwa nini ? Kila mara kazi hizo zaendeshwa tu na wamama wachuuzi wadogo kwenye soko.
    Swahili il y a 3 ans
  • Uhariri: Nafasi gani kwa vijana nchini Zaïre ?
    "Vijana wetu wa takua ginsi tullivyowatayarisha". Usemi huu waishi midomoni mwa viongozi nchini mwetu. Kila mara wanema wazi kuwa vijana hao ndiwo tegeme la nchi na iongozi wa kesho.
    Swahili publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Bukavu: Shirika P.E.V. kaendesha chanjo za ukingo wa mama na mtoto
    Hapo majuzi shirika P.E.V. kaendesha mjini Bukavu chanjo za ndui za uukngo wa mama wenye umri wa miaka 14 hadi 44 na watoto kuhusu magonjwa ya kuambukia.
    Swahili publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Zaïre: Kwa nini watumishi wa serkali kagoma ?
    Hapo majuzi mnamo mwezi wa Julay watumishi wa serkali kagoma hasa wakitupilia kazi kutokana na kutoongezewa mishahara kama vile kahaidwa na wakuu serikalini.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uamzi: Mke wa pili adai zaire 1.000.000,00 kwa mwananchi Sampi
    Katika kitabu ya uamzi mambari RC 2486 kwenye mahakma kuu ya mji wa Bukavu, mama Mbayu M'Ndeko(Paola) adai zaïre 1.000.000,00 kila mwezi kwa mwananchi ...
    Swahili il y a 3 ans
  • Vilema, watu kama sisi
    Hapo mwezi wa tano 1990 tarehe 27, kiuo cha vilema "Heri Kwetu" Kilisherechekea siku kuu ya vilema. Sherehe hizo ziliweza pia kuhuzuriwa na mke wa liwali wa jimbo, Mama Dillingi wakiweko pia makamu wa liwali Ngoy Shambuyi ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kivu ya Kusini: Shirika la kutoza ushuru lahaidiwa zaïre 800.000.000,00
    Mwananchi Mapasi Bula, kiongozi wa shirika la watoza ushuru (contribution) katika jimbo la Kivu ya Kusini, kaeleza hapo majuzi mbele ya wapaswahabari kuwa kodi zote kwa jumba la mwaka huu jimboni ...
    Swahili publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Je, umesikia
    KUWA mjini Kindu wanatufunzi hujionea cha "mtema kuni"? Yasemekana huko heti walimu na viongozi wa shule ...
    Swahili il y a 3 ans
  • Ascofu Munzihirwa akamilisha katika diosezi ya Kasongo
    Kutokana na hatua kachukuliwa na Baba Mtakatifu wa Roma, Yoane Paulo wa Pili. Askofuu Munzihirwa katamilishwa kama vile askofu mwenyekiti wa diosezi ya Kasongo akimgomba hivi askofu Pirigisha Mukombe ambaye katimiza ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Ukahaba msinji wa maisha rahisi, mazuri na starehe ?
    Watu ambao wavikwa madaraka ya kuadibisha na kuongoza vikundi vya vijana wapiga yohwe. Wale wasimamizi wa makanisa wasema eti tayari mwisho wa dunia wakaribia.
    Swahili publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Mzozo kunako univasti na vyuo vikuu nchini Zaïre utaisha lini ?
    Tangu tarehe 18 mpaka 19 Juni, Bunge la Taifa katafua mzozo kazaa ambao kalewa na wanafunzi wa univasti na wa vyuo vikuu mbalimbali inchini mwetu.
    Swahili publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Adabu za saa zote: Soga na maongezi
    Kwa siku za leo, sababu ya kujua luga nyingi, tunao uwezo wa kuongea popote tunapokuwa kitundini. Lakini namna gani soga (michezo, maburudiko) zetu zinapaswa kufanyiwa na maongezi yetu ni sherti ielekee nini?
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 3 ans
  • Kivu ya Kusini: Njaa yaikumba mtaa wa Beni
    Siku hizi mtaa wa Beni wasulumishwa kwa ukosefu wa chakula kingi na chenye kufaa shirika SOLIDARITE PAYSANNE kaonya jambo hilo wazi mbele ya wataalam wengine ambao katangulia huko.
    Swahili il y a 3 ans
  • Uchumi wavutia siasa ya kidemokrasia
    Tangu tarehe 24 Aprili 1990, hali ya kidemokrasia yaonywa na kurudishwa ukamilifu wa uwezo na madaraka ya Bunge, Barza la Mawaziri na Barza la Sheria. Kwa kweli, hali ya kidemokrasia yategemea uhuru wa maoni, mwanzo na masemi hasa huo wa upashaji wa habari, haki ya kugoma ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uhariri: Nani ahitajika kuongoza nchini ?
    Uhongozi nchini sio mzaa. Kwani kila mwananchi anayetezami wa kuongozi nchini katika ngazi mbalimbali yafaa afanye kila analoweza ili kuongeza kiwango cha elimu anayo, ujuzi mbalimbali, ufundi pamoja na mbinu za kumudu madaraka wanayozaminiwa na umma.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • "Homa" yaikumba michezo jimboni
    Miaka michache iliyopita, michezo kama vile ya kandanda, riaza, makonde, kinga na hata ya vikapo na nyavu ilikuwa yakitiliwa maanani sana gazeti ngazi ya vijijini, mji mikuu hadi taifa kuanzia shuleni.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • COOCEC/Kivu
    Kama illivyo kawaida kila mwisho wa mwaka; Koperative kuu ya akiba na mkopo jimboni mwa Kivu (COOCEC-KIVU) kafanya mkusannyo wakee mkuu hapo majuzi mjini Bukvu.
    Swahili publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Kivu ya kusini yahatarishwa na wakimbizi
    Zaidi ya wakimbizi 100.000 toka nchi za Rwanda na Burundi waishi katika majimboo ya Kivu Kusini na ya Kashazini. Ingawa wengi wakimbizi hao toka nchi hizo mbili idadi ...
    Swahili il y a 3 ans
  • Lunda Bululu, Waziri mkuu mpya
    Baada ya kusimikwa kwa Jamhuri ya tatu hapo tarehe 24 aprili 1990 Kutokana na mabadiliko kafanywa nchini Zaïre kuhusu siasa, ilimpendeza Raïs wa Jamhuri, Mareshali Mobutu, kumtaja mwananchi Lunda Bululu.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uwingi wa vyama wakubaliwa nchini Zaïre, lakini ...
    Katika hotuba wake muhimu kafanya Raïs wa Jamhuri ya Zaïre, Mareshali Mobutu mnamo tarehe 24 aprili 1990 kijijini N'sele kwa wajumbe wa majimbo wakiweko mabalozi wa nchi rafiki na wapashohabari toka nchi kazaa za kigeni
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Baada ya mahitaji
    Mabadiliko ya siasa nchini kujulishwa na Raïs wa Jamhuri, Mareshali Mobutu, kapokelewa na furaha na raïa ambao kaionya kwa mandamano, pongezi za kumfukuza ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Je, umesikiya
    Kuwa uko katika mtaa wa kadutu wasichana (wabinti) waendelea na iwao iwa kutosha mimba na kutupa watoto katika mifereji ama yalala ?
    Swahili il y a 3 ans
  • Je, umesikia ... ?
    KUWA mjini Bukavu wamoja kali ya akina mama wachuuzi walifezeesha kunako soko kuu la kadutu siku kwa siku ? kwa nini ?
    Swahili il y a 3 ans
  • Raïs Mobutu ahusika na maisha ya raia
    Baba wa Taifa, Mareshali Mobutu, ajifikiri siku kwa leo pia hapo makesho nchini Zaïre. Kweli, twazani wote kuwa Mareshali Mobutu tangu kuchukua madaraka ya uongoziwa nchi afanya vyote aweza kwa kufikilia maisha rahisi na bora kwa raïa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • UHARIRI : Hewa yay mabadiliko !
    Kutokana na maoni ya Prezidenti-muundaji wa Chama cha Mapinduzi, Raïs wa Jamhuri ya Zaïre, Mareshali Mobutu, kwatezamiwa mabadiliko muhimu katika uongozi wa Chama-serikali katika hotuba yake ya tarehe 24 Aprili 1990 kwa raïa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Wakaaji wa Bukavu wamtumainia Regideso
    Wakaaji wataweza kushota tena maji safi kama hapo zamani mjini Bukavu siku zijazo. Kwa kuwa kiwanda kipya chakutoa maji safi chajenwa huko Murhundu.
    Swahili publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Ukadirisho wa uzazi muhimu jamaani
    Kulokana na matatizo kazaa wa kazaa kuhusu uchumi, dini, utamaduni na ongezo la jumba la watu kusudio la kukadirisha uzazi uchukuliwa ummani siku kwa siku.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Je, umesikia ... ?
    KUWA chawa yaweza kuambukiza ugonjwa wa Sida ? Imejulikana kuwa mahali kazaa duniani watoto wengi wenyi umri ya miaka kuingia shuleni na wangineo wachanga wazaliwa tangu tumboni mwa mama zao ...
    Swahili il y a 3 ans
  • Muungano wa Bunyikiri "SIBU" wajikamilisha
    Wanamemba wa muungano kuhusu maendeleo yaa Bunyikiri "SIBU" walikutana hapo majuzi kunako masomo ya segondari ya Funu/kadutu . Siku hiyo ilitolewa ripoti ya mkusanyo uliofany n wasimamizi wa "SIBU" hapo Bunyiakira mnamo mwezi wa pili ...
    Swahili publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Na mwishoe, Namibia nchi huru
    Nchi ya Namibia ambayo ipatikanayo Kusini mwa Bara la Afrika na kuangamizwa na ubaguzi wa rangi na mabeberu wa Afrika ya Kusini kasherehekea uhuru wake mnamo tarehe 21 Marsi 1990 ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Mimi si ndumba !
    Kutokana na magonjwa mengi yanayoshambulia watu, kati yap magonjwa ya kisonono na kwa leo ugonjwa haramu na mkali wa "SIDA", yafaa kweli kujikinga tukichukua hatua kazaa na kufuata mashauri ya wanganga na wataalam wote wahusikao ambao kutaja jina ttu ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uhariri: Mishahara na bei
    Kwa kweli tukitchungua hali ya maisha ya leo ummani, bei ya vyakula, ya vifaa ne mengineo biashara, bei ambayo yapanda siku kwa siku mwendo wa kungurru, watumishi nchini, hasa hao wa daraja za chini wasulubishwa na maisha magumu ambayo yamasonga.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Wabunge wa Jimbo la Kivu ya ksini wapigwa bumbwazi
    Wakati wamapumziko yao jimboni, wabunge wa Kivu ya Kusini waliweza kutembelea mitaa kazaa ili kujionea na kujisikilia binafsi ginsi uongozi wa Chama-sekl wafanyikao huko Matukio ya matembei ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Raïs Mobutu awahimiza raïa kutoa maoni yao juu ya Chama-serkali
    Juma kwa juma, siku hizi Mareshali Mobutu, Prezident-Muundaiji wa Chama cha Mapinduzi "MPR" kaendelea na ziara yake kiserikali majimboni kwa kuwahimiza raïa kutoa maoni na mahitaji yao kuhusu uongozi na mwenendo wa Chama-seikali baadaya miaka 25 ya kimapinduzi na karibu sasa miaka 30 ya uhuru.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Marais Buyoya, Habyarimana na Mobutu wajikamilisha
    Ni katika mpongo wa uhusiano wapaswa kuweko kati nchi tatu, ndugu , rafiki na jirani yaani Burundi, Rwanda na Zaïre, nchi hizo kaunda muungano wa kiuchumi "CEPGL".
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uhariri: UTASHI BORA
    Muungano wa kiuchumi wa nchi zinazopakana na maziwa makuu (CEPGL) ambao kaundwa mnamo tarehe 20 septemba 1976 na kufikilia hapo makesho miaka 14, ingawa muda huo si mrefu
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • BABA WA TAIFA AZUNGUMZA NA RAIA KIDEMOKRASIA
    Muda wa siku tatu, tangu terehe 30 januari hadi 1 februari 1990, Baba wa Taifa, Mareshali Mobutu alistarehe na raia jimboni mwa Kivu ya Kusini katika ziara ya kiserkali mjini Bukavu ambako kapokelewa ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kivu ya Kusini: NJAA YAANGAMIZA WAKAAJI
    Katika jimbo la Kivu ya Kusini yaani mitaani Kabare, Walungu, Fizi, Shabunda, Mwenga na mji wa Bukavu, maisha ya wakaaji huhatarishwa kwa kuwa waangamizwa nanjaa, sawa vile mwaka wa 1984.
    Swahili publié par Chirume Simba il y a 3 ans
  • Adabu za saa zote: DEREVA AO MTEMBEZA GARI
    Hapa tutasimulia juu yule ambaye gari si lake, yule ambaye kutembeza gari ndio kazi yake. Maana yake yule anayetumikia myu mwengine ao shirika fulani.
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 3 ans
  • BENKI KUU YA ZAIRE KAFUNGUA SOKO LA UNUNUZI WA ZAHABU
    Ukomo wa Benki kuu la Zaïre kwa kununua zahabu ni kuipiatia nchi ya Zaïre feza nyingi, kanena Liwali wa Benki hilo mwanchi Pay-Pay wa Syakassighe ambaye hapo majuri kafungua keserkali soko la ununuzi ...
    Swahili publié par Chirume Simba il y a 3 ans
  • DAFTARI KAMILI YA WANAMEMBA WA SERKALI
    Hapo majuzi Prezindenti-muundaji wa Chama cha Mapinduzi, Mareshali Mobutu, kabadidi wenyekiti madarakani katika Chama-serkali. Mabadiliko kafanya Baba wa Taifa yaonya kuwa ahusika na mwenendo bora unaopaswa kuweko katika kazi zahendeshwa kwa manufa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou publié par Lubunga Bya 'Ombe il y a 3 ans
  • JUA yatimiza mwaka 9
    Ni katika furaha na shangwe kubwa njo karanu ya kutimiza miaka kenda ya kuzaliwa kwa gazeti letu ilifanyika kunako biro yake.
    Swahili publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans
  • Burundi : Raia wamechangua katiba mpya
    Mnamo tarehe 18 novemba mwaka huu, raia wa Jamhuri ya Burundi walikubali mwito wa wakuuw wa Chama "UPRONA". Wenyeviti wale waliwaalika kuboa msimamo wao juu ya katiba (Construction) mpya iliyotajarishwa chini ya utawalo wa Mheshimiwa Rais Jean-Baptiste Bagaza.
    Swahili publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans
  • Mashariki ya Kati Msiri na Israëli wabaki marafiki
    "Patano linalounga Msiri na Israëli ni la kweli", Maneno yale yalitamkwa na Mheshimiwa Rais Hosni Moubarak mbele ya wadeule wakikutana katika ukomo wa kwendelea na kazi yao ya kawaida kisha mapumziko yao.
    Swahili il y a 3 ans
  • Dolari milioni sita zitatumiwa kwa kutawanya biblia Barani
    Habari zinazoaminika kutoka Kinshasa zinasema kwamba Shirika linaloshurulika na kazi ya kutawanya biblia ulimwenguni (Alliance biblique universelle) lakusudia kutumia dolari milioni sita mwaka huu.
    Swahili il y a 3 ans
  • Je, umesikia ... ?
    KWAMBA baada ya bibi mmoja kumtoroka mme wake, huyu, aliwahi kupeleka mashtaki kwenye wakwe wake ? Basi kisha masikilizano, jamaa ya bibi ikaona ni vizuri mme atanguliye kwake na kisha, kama desturi ya asili yao, mke wake atasindikizwa na ndugu, kwa ajili hiyo mamakuu na mama ya mke wakachukua bjia na kumsindikiza bibi huyo.
    Swahili il y a 3 ans
  • Miaka 16 ya Mapinduzi yatimia
    Katika historis ya taifa letu mwezi wa Novemba ni wa lazima sana. Ni katika mwezi huu ndipo sisi Wazairwa tunazoea kufanya sherehe za kimotomoto.
    Swahili publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans
  • Je, umesikia ... ?
    KWAMBA jeshi la Muungano linapopambana, macho kwa macho, na jeshi la Bralima katika mchezo wa kabumbu wa kugombania kikombe cha mashindano yasiyokuwa kawaida ni sherki Muungano ilazwe machali ?
    Swahili il y a 3 ans
  • Tangazo la mganga
    Enyi wakaaji wa Goma na wa kandokando, mnajulishwa kama kuna mgnga wa kiasili kutoka Afrika ya Mashariki, kisiwani Zanzibar-Tanzania.
    Swahili il y a 3 ans
  • Walungu: Mchafuko utaisha lini huko Ngweshe ?
    Siku hizi mkoa wa Ngweshe watikishwa vikali na fujo moja kubwa. Fujo hiyo yawatenga Mwamikazi na wakaaji wake na mwenyekiti wa mtaa wa Walungu, ndugu Onauchu.
    Swahili publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans
  • Lwiro : Seminari itafayika juu ya afya
    Habari ziazoaminika kutoka biro ya Liwali wa jimbo letu, mwananchi Mwando N'Simba, zinasema kwamba seminari moja maalum itafanyika kunako majengo ya IRS/Lwiro.
    Swahili publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans
  • Mkutano wa kamati ya Chama jimboni umemalizika
    Siku ya pili tarehe 3 mwezi huu, kazi za mkutano maalum wa kamati ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo zimemaliza. Kama ilivyo desturi mwananchi Mwando N'Simba, mkuu wa tawi la Chama katika jimbo letu amesimamia binafsi mkutano ule.
    Swahili il y a 3 ans
  • Dawa ya kuponya ukoma imevumbuliwa ?
    Habari zinazoaminika ambazo zilichapwa katika gazeti "Nap _ Nouvelle Agence de Presse" zahakikisha kwamba, kamati ya waganga wa Umoja wa nchi huru ulimwenguni wahusikao na kitoa cha uta ufuta wa kiganga ...
    Swahili il y a 3 ans
  • Waganga wa Rwanda na Zaïre walikutana
    Siku hizi, waganga wa nchi huru na jirani za Rwanda na Zaïre walikutana katika Hoteli Residence ya Bukavu. Shabaha muhimu ya kukutana kwa waganga hao ilikuwa ya kutafuta majawabu kwa kukomesha magonjwa nanayoangamiza vikali wakaaji wapatikanao mipakani mwa nchi za Rwanda, Burundi na Zaïre.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Bukavu : Vilema wamepewa zawadi ya zaïre elfu tatu
    Siku zilizopita tuliwatukaza mjini Bukavu ndugu zetu vilema. Baada ya mapambono ya kandanda yaliyoendeshwa kwa jimbo la Kipu aliye kuwa kwa muda, mwananchi Lokomba Kumuadeboni walitoa kwa ndugu zetu vilema zaire elfu tatu.
    Swahili publié par Bujiriri Mwangaza il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Weka dawa ya jamaa vizuri
    Dawa ni kitu kizuri lakini kuna WALAKINI ... Na walakini yanyewe yaoneka viba