-
Kivu ya Kaskazini Eti ndiyo mwisho wa vita vya ukabila
Kumefanyika manmotarehe 25 hadi 29 novembre, mkutano mkuu uliowakusanyisha pa Mwesso (ZTM) wajumbe wa makabila zilizo kuwa ndani ya fujo na vita mkali katika mitaa ya walikale...
Swahili
publié par
Gabriel Lukeka Bin Miya
il y a 6 ans
-
Kwako bibi : "Kayabunde" ni rafiki baya
Watu wanaosema luga ya kiswahili waweza kujiuliza neno "kayabunde" ama pia "shindikana" latokeya wapi na lina maana gani mjini Bukavu na jimboni mwa Kivu ya Kusini kwa jumla...
Swahili
publié par
Imata Raphael Déwen
il y a 3 ans
-
Kwako bibi: Chakula bora kwa mama mwenyi mimba
Wakati kanenwa kuwa mtaalam wa mlimo ni wa lazima sawa na nganga, watu wamoja wamoja wapingwa bumbwazi, kwa kweli, masemi hayo ni ukeweli mtupu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bakanirwa Bachiyeka
il y a 2 ans
-
Kwako bibi: Chakula bora kwa mama mwenyi mimba
Wakati kanenwa kuwa mtaalam wa mlimo ni wa lazima sawa na nganga, watu wamoja wamoja wapingwa bumbwazi, kwa kweli, masemi hayo ni ukeweli mtupu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Bakanirwa Bachiyeka
il y a 2 ans
-
Nyama za kuoza zaonywa sokoni
Katika soko mahali kazaa jimboni mwa Maniema wanuuzi wajionea "Iwa mwende mkaone". Huko Maniema, yasemekana kuwa ni vema kula sombe ao maharagi kuliko nyama.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Swedy Bin Alaiu
il y a 2 ans
-
Chama "MPR" chasimikwa jimboni mwa Kivu ya Kusini
Viongozi na wakuu wa vikundi kazaa vya siasa kapewa miezi mitatu ya kutoa maelezo kamili kwa kutoa ombi lao la kuviunda kunako wizara ya mambo ya Ndani, (uongozi wa nchi) na siasa ya kujitengemea ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Kweli, ninao ugonjwa wa SIDA
Binti mmoja mtaa wa Kadutu pa Bukavu anaugua ugonjwa wa upungufu wa kingo mwilii (UKIMWI, kwa kifupi ama SIDA) tangu siku nyingi kufwatana na mafasirio alipata kwa waganga pale Bujumbura na Goma.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Imata Raphael Déwen
il y a 2 ans