• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Neno la wasomaji, Itombwe yasonga mbele
    Jua mpenzi, Nikiwa mmoja kati ya wasomaji wako watukufu, nafurahiwa sana na Gazeti letu "JUA" kwa kuwa latujulisha mambo yapitayo katika jimbo letu, nchini Zaïre na duniani kwa jumla.
    Swahili publié par Wissoba Lusambya il y a 5 ans
  • Neno la wasomaji: Wachuuzi wa Salamabila watetemeshwa
    Jua mpenzi, ni mara ya kwanza nachukuwa kalamu yangu kwa kukuandikia kutokana na vitisho vyatushambulia toka na vyongozi ya hapa Salamabila. Na ninatumaini kama utaweza kunitolea mawazo kwa jambo hilo.
    Swahili publié par JUA il y a 3 ans
  • Neno la wasomaji: Wembe warahisisha uwizi katika soko la Kadutu
    Ndungu mpenzi JUA, ninakujilisha kwamba mimi ni moja kati ya basomaji wako mashuhuri. Kupendelea kwangu kosoma GAzeti "JUA" kwatokana na vipindi vyaelekea akina mama (kwako bibi) na "Je, umesikia...?
    Swahili il y a 3 ans
  • Kalehe: Msalamwekundu utamaliza wakaaji wa Bunyaki
    JUA mpenzi, nisipodanganyika ukurasa huu ni baraza ulilotutolea sisi wasomaji ili tupate kuzungumza kimapinduzi kila juma. Sivyo ?
    NENO LA WASOMAJI il y a 2 ans
  • Uvira : Ubaguzi utaisha lini ?
    JUA mpenzi, usiwe na mchangao wa kuniona natumia ulizo lile kama vile kichwa cha barua yangu hii fupi. Kile kinachonishukuma kukuuliza hivyo si kingine bali kujua kwa nini ubaguzi wazidi kufanyika huku kwetu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 2 ans
  • Kodi yazidishwa
    JUA mpenzi, siku hizi, sisi wakaaji wa Uvira tunasikia ya kwamba kodi italipiwa sawa vile mwaka jana. Lakini hapa kwetu Uvira huyo kiongozi wa mataa atulazimisha kulipa zaire makumi ine.
    NENO LA WASOMAJI il y a 2 ans
  • Shabunda: Jamaa nyingi zapunguka
    JUA mpenzi, Kwa kusema kweli, idadi ya jamaa nyingi zinazoishi katika mkoa wa Bakisi inaanza kupunguka kabisa. Katika mkoa wa Bakisi inaanza kupunguka kabisa.
    NENO LA WASOMAJI il y a 2 ans
  • Ukadirisho wa uzazi muhimu jamaani
    Kulokana na matatizo kazaa wa kazaa kuhusu uchumi, dini, utamaduni na ongezo la jumba la watu kusudio la kukadirisha uzazi uchukuliwa ummani siku kwa siku.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Adabu, hali na tabia ya mtu
    Katika maandishi ifuatayo, mwananchi Risasi Mwanabateni atoa maoni muhimu kuhusu adabu kila mtu yeyote apaswa kuwa nazo ili kuheshimisha utu wake.
    NENO LA WASOMAJI il y a 2 ans
  • Wataka maisha marefu ?
    Gazeti "La Relève" la jamhuri ya Rwanda katoa katika nakala yake mambari 114 ta tarehe 23 mpaka 29 marsi 1990, nusu ya maoni kuhusu siri ya kiushi mda mrefu duniani. Maoni hayo katolewa na mwandishi J. Ndabamenye ambaye kagusia mafasirio ya mwalimu mjerumani Prinzingere.
    NENO LA WASOMAJI publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 2 ans
  • Kindu/Maniema: Malipo yawatisha wachuuzi sokoni Mama Yemo
    Soko "Mama Yemo" ya Kindu kajengwa mwaka wa 1973. Wakati huo jimbo ndogo la Maniema lilikuwa chini ya uongozi wa mwananchi Kusasimba Diamasisa.
    NENO LA WASOMAJI publié par Swedy Bin Alaiu il y a 2 ans
  • Mama Mutiri Nyirkwezi Uwimana, kiongozi mpya wa barabara Kalehe
    Hapo mnamo tarehe 18 ogusti 199, mwananchi Kasongo Bila Muhasa Mpungu kasimika kiserkali Mama Mutiri Nyirakwezi Uwimana kama vile kiongozi mpya wa barabara Kalehe katika mtaa wa Ibanda mjini Bukavu.
    NENO LA WASOMAJI publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Adabu za saa zote: Kwa mkubwa na kwa mdogo
    Kunao watu ambao wanazani kama ni haki yao kuheshimiwa yaani kupatiwa adabu yote na kwamba ni mwiko kwao kuheshimia jirani.
    NENO LA WASOMAJI publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans